cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakuja hata usijar.,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahaaa njoo kijiwen hapa tukule miwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakuja hata usijar.,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahaaa njoo kijiwen hapa tukule miwa
Hahhhhhaaah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye sasa msukuma alivyo na makusudi, anapost picha ya vitabu afu kwa mbali mzungu yupo swimming pool,
Aaaah inakata stim mnoo, mtu unajua unamuona mzee wa 76yrs kitu hollah, hebu imagine? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utani piemu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakuja hata usijar.
Khakhaaaaaa... naimagine sikupatii picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msamvu pana heka heka, nlishawahi kuangushwa stand pale ndan jinsi walivyinizonga wale mawakala, yaan walinivuta had chini, sitasahau khaaaah
Aisee pole ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlishindwa kujizuia acha nilie machozi yanatoka, bas wamama wa pale abiria wakaanza kuchamba mawakala, ndo ilikua sku ya kwanza naingia stand ya msamvu, khaaaah
Ahsante mwaya, Ndo nilkua mgeni na ile stand wakati huo, yaan wana fujo pale walinivuta na kunizonga afu wanapiga kelele za kushangilia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee pole ..
Pale panahitaji ukauzu sana , na kuwajibu short
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utani piemu
piemu haina chama[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shouzz acha kabisaa, tshet langu jeupe la manga, kipusa changu cha jeans, laba zangu chini utaniambia nn? Kilichovikuta sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kwenye gari nalia tyuuh nafuta machozi na lesso.Khakhaaaaaa... naimagine sikupatii picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee.piemu haina chama[emoji16][emoji16]
Hahahaaa..leo uhakika leo! Mazoezi kam kauwaaa!![emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Tangu juzi hujaselfika Boss Lady. Au mazoezi yanakubana sana? [emoji15][emoji15][emoji15]
Utani tag shouzzz mwayaa. [emoji7][emoji7][emoji7]Hahahaaa..leo uhakika leo! Mazoezi kam kauwaaa!![emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
usiwaze shos!Utani tag shouzzz mwayaa. [emoji7][emoji7][emoji7]
Mbona hivyo dada 😂😂Ndiyo ukafuta guu lako?
Ahsante mwaya, Ndo nilkua mgeni na ile stand wakati huo, yaan wana fujo pale walinivuta na kunizonga afu wanapiga kelele za kushangilia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀😀 uache fujo unajuaWacha wee, high heels hutaki tabu mwenyeweee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jk na KinanaUmemtambua Nani Hapo [emoji4][emoji4]View attachment 2137474View attachment 2137475View attachment 2137476View attachment 2137477