Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,830
Nimejipatia milioni ya bure. Nitaleta mrejesho kwa wanaselfika [emoji16]1m cash
Nimejipatia milioni ya bure. Nitaleta mrejesho kwa wanaselfika [emoji16]1m cash
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye sasa msukuma alivyo na makusudi, anapost picha ya vitabu afu kwa mbali mzungu yupo swimming pool,Usiombe shos! Bora jana msukuma kwako alikutana walau hata na pua tu imagine unakutana na majani [emoji134][emoji134][emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!!!
Hizi bagia za ngano?
Sio kazi sana ni kujifunza tu😋😋Natamani kujua hii kitu vipi wanatengeneza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah wapi wee.Si ya kucheka haya shos![emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Vileja mamyHizi bagia za ngano?
Nitakuwa pembeni kusupport ushuhuda wakoNimejipatia milioni ya bure. Nitaleta mrejesho kwa wanaselfika [emoji16]
Soon ntakua hapo mbna mama malezi, napenda moro pako vizuri kwa vyakula hasa vya asili, ila tatzo SAA 3 kmyaaa wote wamelala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uje unisalimie [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye sasa msukuma alivyo na makusudi, anapost picha ya vitabu afu kwa mbali mzungu yupo swimming pool,
Aaaah inakata stim mnoo, mtu unajua unamuona mzee wa 76yrs kitu hollah, hebu imagine? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo sasa [emoji7][emoji7][emoji7]Karibu sana, utanikuta Msamvu
Hawana stress WaluguruSoon ntakua hapo mbna mama malezi, napenda moro pako vizuri kwa vyakula hasa vya asili, ila tatzo SAA 3 kmyaaa wote wamelala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jina lingine nn? Mbna sijui hata kuona sijawahi.Vileja mamy
It is on!
karibia forest"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nna maeneo yangu napuyanga kwa miguu mie, hasa nyumbani nikitoka asubuh tukutane jioni, ni mizururo com, mie ujanja wangu ni home, ugenini hapana, afu soon ntakua hapo moro town kwa siku 3 then nasepa home huko bondeni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msamvu pana heka heka, nlishawahi kuangushwa stand pale ndan jinsi walivyinizonga wale mawakala, yaan walinivuta had chini, sitasahau khaaaahHawana stresa Waluguru
Teh hela sina hata, na Moro hunipati MtumishiIt is on!
Iandae hiyo 1mil kabisa iwe tayari tayari maana mi huwa sipendi kesi!
😂😂😂 Kama nakuonaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msamvu pana heka heka, nlishawahi kuangushwa stand pale ndan jinsi walivyinizonga wale mawakala, yaan walinivuta had chini, sitasahau khaaaah
Ahsanteeeeh, maeneo pendwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karibia forest"
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahaaa njoo kijiwen hapa tukule miwaAhsanteeeeh, maeneo pendwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijaewahi kukuona kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlishindwa kujizuia acha nilie machozi yanatoka, bas wamama wa pale abiria wakaanza kuchamba mawakala, ndo ilikua sku ya kwanza naingia stand ya msamvu, khaaaah[emoji23][emoji23][emoji23] Kama nakuonaaaa