Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji57][emoji57]
Screenshot_20220303-113028_Messages.jpg
 
Kumbe huzururagi eeh
Hiyo ID ipo siku mingi sana

Ila wabadilishaji na multiple wamejaa, jichanganye uyavagae [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulivyo niparua sasa hadi nimejistukia woiiiiiiiiih.
Ni mzururaji mzuri tyuuh, ila sifatilii ID za watu mie, aaaah wapi wee kuyavagaa sio coca mie labda remix angu, uwiiiiii
 
Habari za leo?

Kama unamfahamu yeyote aliyefiwa na mwenza na alikuwa na Account CRDB Bank nakuomba umtaarifu afike kwenye tawi iliko account ya mwenza ndani ya miezi sita tangu kifo kilipotokea kuna mafao anayostahili kupewa. Ni watu wachache wanaofahamu kuhusu fao hili. Na kama mfiwa na marehemu wote wana Account CRDB mafao yanakuwa ni mara 2.

Jamani tusambaze upendo huu hata kwa makundi mengine ili watu wengi waweze kupata taarifa hii wasipoteze mafao/haki yao pale kifo kinapotokea.


Kopi end pesti

Mwenye uhakika tafadhali
Hebu ngoja niwahi tawi fulani hivi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shauka tu
Ngoja siku kikukute kitu [emoji38]
Jaman dea wee nae, yaan niogope kunikuta kitu hapa JF? Na huko mtaani au uraiani je? Uzuri wake mi mwenyewe nipo full package, hiyo siku mbna kitawaka kitu humu ndani akuuuh. Sijawa mnyonge kiasi hiko mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom