cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi niache, sasa nipende nn hebu nambie kwan?Unavyopenda ndinga wewe; hapo nilikuwa napuyanga tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi niache, sasa nipende nn hebu nambie kwan?Unavyopenda ndinga wewe; hapo nilikuwa napuyanga tu
Tangu juzi hujaselfika Boss Lady. Au mazoezi yanakubana sana? [emoji15][emoji15][emoji15]Afu ukute ndo wale wa kutorudirudia kirahisi sasa dahh!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shouzzz khaaahSi nikalogin kwa jf App ikazingua kuload picha Mara paaa naona ma mtumishi katupia kitu afu loading error weee ile kuwahi kuingia kutumia browser nakutana selfii la mandhari uuwiii![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134][emoji134]!! Nikajua kitu cha mshono mattatta kama kawaida yake!!
Penda kupuyanga kwa miguu kama mama malezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi niache, sasa nipende nn hebu nambie kwan?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wao wanategeka, uongo wako ndo wanawatega kwa kuwapunja marks woiiiiiih.Mhh na nyie mnawatega sana[emoji4]
Usiombe shos! Bora jana msukuma kwako alikutana walau hata na pua tu imagine unakutana na majani [emoji134][emoji134][emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shouzzz khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mie sitaki nipo hapa nacheka naonekana chizi tyuuh lol.Acha Kabisa ma mchungaji.. si unajua venye App inavozingua mpaka zisome% sasa click click click inasoma 0% doh ndio kukimbilia browser nilichokutana nacho nikabaki tu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]!
😋😋Natamani kujua hii kitu vipi wanatengeneza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nini sasa mpe lishe na matunzo bora uone atavyaofumuka, nyama yake inakua ngumu na haitafuniki hata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cocastic
Si ya kucheka haya shos![emoji23][emoji23][emoji23]!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mie sitaki nipo hapa nacheka naonekana chizi tyuuh lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afu ukute ndo wale wa kutorudirudia kirahisi sasa dahh!!!!
Nitaulizia wataalamu wa Nguzo Camp wanielekeze halafu nitaanzia operesheni yangu ya kukusaka nikiwa hapo. Nikifika huko Kingolwila, Cate Hotel, soko la karibu na mzumbe na hilo la Kingalu na nyumba kadhaa za ibada mbona ntakudabua MamaMchungaji? [emoji16][emoji16][emoji16]Wewe njoo Moro afu uone kama utanipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko moro acha kutuzingua hapa,Wewe njoo Moro afu uone kama utanipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teh ukinipata nitakupa helaNitaulizia wataalamu wa Nguzo Camp wanielekeze halafu nitaanzia operesheni yangu ya kukusaka nikiwa hapo. Nikifika huko Kingowira, Cate Hotel, soko la karibu na mzumbe na hilo la Kingalu na nyumba kadhaa za ibada mbona ntakudabua MamaMchungaji? [emoji16][emoji16][emoji16]
Uje unisalimie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko moro acha kutuzingua hapa,
Mkundi, kikundi, kihonda, hahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nna maeneo yangu napuyanga kwa miguu mie, hasa nyumbani nikitoka asubuh tukutane jioni, ni mizururo com, mie ujanja wangu ni home, ugenini hapana, afu soon ntakua hapo moro town kwa siku 3 then nasepa home huko bondeni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Penda kupuyanga kwa miguu kama mama malezi
Karibu sana, utanikuta Msamvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nna maeneo yangu napuyanga kwa miguu mie, hasa nyumbani nikitoka asubuh tukutane jioni, ni mizururo com, mie ujanja wangu ni home, ugenini hapana, afu soon ntakua hapo moro town kwa siku 3 then nasepa home huko bondeni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Laki ngapi?Teh ukinipata nitakupa hela
1m cashLaki ngapi?
Hata siku mbili hazitapita wallahi. I am a trained private investigator ujue