Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Kuna lile soko kule[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2137394
Karibu na mzumbe
Huwa nashusha sana nafaka
Halafu zinakuja hapo kingalu
Kuna lile soko kule[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2137394
Irudiwe basi [emoji4]Nimecheka hadi nimepaliwa. Usiombe ufungue picha afu kitu loading error
Ipo mbonaIrudiwe basi [emoji4]
Na Mimi nauza nafaka hapoKuna lile soko kule
Karibu na mzumbe
Huwa nashusha sana nafaka
Halafu zinakuja hapo kingalu
Kumbe ni Morogoro? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2137394
VizuriNa Mimi nauza nafaka hapo
Sasa Mtumishi si tunatoka kutangaza Injili ulimwenguni koteKumbe ni Morogoro?
Kumbe siyo Uyole?
Ukipanda hapo little more unanikuta[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2137394
NitagIpo mbona
Acha Kabisa ma mchungaji.. si unajua venye App inavozingua mpaka zisome% sasa click click click inasoma 0% doh ndio kukimbilia browser nilichokutana nacho nikabaki tu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]!Nimecheka hadi nimepaliwa. Usiombe ufungue picha afu kitu loading error
WanyakiKumbe ni Morogoro?
Kumbe siyo Uyole?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]CocasticBado hajapea vizuri huyu, inatakiwa atanuke huyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuelewa kwa kweli; usiombe upitwe na picha mbele ya macho yakoAcha Kabisa ma mchungaji.. si unajua venye App inavozingua mpaka zisome% sasa click click click inasoma 0% doh ndio kukimbilia browser nilichokutana nacho nikabaki tu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]!
Hapo Kingolwila wameweka kambi kabisa😅😅Wanyaki
Wamesambaa mno
Moro ni kwao tu
Hasa pale near cate hotel
Wamejenga himaya yao
Afu ukute ndo wale wa kutorudirudia kirahisi sasa dahh!!!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hakuna maumivu makali kama yakukosa picha hasa ya mama mchungaji Heaven Sent na mbaya zaidi ukutane na sifa wanazosifia wanaselfika sasa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tumshawishi atupie basi
Kumbe eeh. Itabidi na mimi nikaweke kambi hapoHapo Kingolwila wameweka kambi kabisa[emoji28][emoji28]
Kati ya miji ambayo sijawahi kufika na siijui kabisa ni Moro. Ila kwa vile sasa nimejua kuwa huduma ya Mama Mchungaji iko Moro basi nitaenda kuokokea huko aisee! [emoji16][emoji16]Wanyaki
Wamesambaa mno
Moro ni kwao tu
Hasa pale near cate hotel
Wamejenga himaya yao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!Nakuelewa kwa kweli; usiombe upitwe na picha mbele ya macho yako
[emoji1787]Kati ya miji ambayo sijawahi kufika na siijui kabisa ni Moro. Ila kwa vile sasa nimejua kuwa huduma ya Mama Mchungaji iko huko na siyo Uyole basi nitaenda kuokokea huko aisee! [emoji16][emoji16]
Wewe njoo Moro afu uone kama utanipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kati ya miji ambayo sijawahi kufika na siijui kabisa ni Moro. Ila kwa vile sasa nimejua kuwa huduma ya Mama Mchungaji iko huko na siyo Uyole basi nitaenda kuokokea huko aisee! [emoji16][emoji16]