Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,584
Hahaaaaaa, lakini always uwekezaji una kula na kuliwa. Hata hivyo huyo atakuwa tayari anajua namna ya kulinda CapitalKwakweli. Mpaka nimeanza kuwaza sijui nimpe tusenti twangu tuwili a-trade on my behalf [emoji848]
Sema ndo hivyo siku ikiwa mbaya naweza kulia [emoji16]