Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
A blessed day indeedhahahaha,imetulia km ulivyotulia rafiki
A blessed day indeedhahahaha,imetulia km ulivyotulia rafiki
hahahaha rafiki ni sehemu salama ingawa ni porini.karibu sanaNijue sehemu yenyewe kwanza rafiki
Unaniletea nyama ya swala?Heaven Sent mamaa pastaa fanya maarifa basi 😊😊😊😊watu wapo kazini
Kwema mtoto wa mjini wewe jamaa potential sana 😀😀Duh😂😂
Ova
utafaidi maana ka Uncle kanajua kuchoma nyama 😃😃hahahahaha
Karibu chai na mhogo mrembo wetu wa selftikaMutu yenye Wizara yake!!![]()
Kigamboni kwema, tunaomba tu Wizara yako na wenzio mtusaidie kwenye changamoto zetu za maji,umeme na barabara za ndani ndani hali bado si nzuri.Usinipe kichwa boss wangu mimi mhangaikaji tu kama ndugu yangu mrangi kwema lakni boss wangu habari za Kigamboni?
Ooh thank you .hahahaha rafiki ni sehemu salama ingawa ni porini.karibu sana
vzrA blessed day indeed
utafaidi maana ka Uncle kanajua kuchoma nyama![]()


Chai na mihogo kama mihogo!!!! Asante sana mkuu!Karibu chai na mhogo mrembo wetu wa selftika
karibu sana.rafikiOoh thank you .
hahaha kumbe eehutafaidi maana ka Uncle kanajua kuchoma nyama 😃😃
Wamo humu bila shaka watayafanyia kazi maombi yako swahiba, ila kigamboni kero kuu ni lile daraja la Nyerere ila ni sehemu fulani tulivu sana.Kigamboni kwema, tunaomba tu Wizara yako na wenzio mtusaidie kwenye changamoto zetu za maji,umeme na barabara za ndani ndani hali bado si nzuri.
Raha ya swala kuchomea nyikani.. nikuagizie gari ulipo ikulete 😊😊Unaniletea nyama ya swala?
Ama umezoea sausage na masambusa swahiba 😀Chai na migogoro kama mihogo!!!! Asante sana mkuu!