Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,274
Hahahaaa.. hapana mkuu hivo ndio vitu vyangu.. hivo mihogo magimbi viazi kwa sana yani!!Ama umezoea sausage na masambusa swahiba![]()
Hahahaaa.. hapana mkuu hivo ndio vitu vyangu.. hivo mihogo magimbi viazi kwa sana yani!!Ama umezoea sausage na masambusa swahiba![]()
Hadi wanifikie hamu ya nyama itakuwa imeishaRaha ya swala kuchomea nyikani.. nikuagizie gari ulipo ikulete 😊😊
Nimefurahi sana maana watu wengi sasa hivi wamesahau vyakula vya asili na hawa hawa ndio husumbuliwa na changamoto mbalimbali za visukari na presha. Lini nikuagizie shehena ya viatu vitamu 😀Hahahaaa.. hapana mkuu hivo ndio vitu vyangu.. hivo mihogo magimbi viazi vitamu kwa sana yani!!
Kuna vingi sana, nitakufundisha hata kuwinda 😊😊Hadi wanifikie hamu ya nyama itakuwa imeisha
Kabisa mamyRaha jipe mwenyewe!!![]()
Hahaha kwanini mzeeKwema mtoto wa mjini wewe jamaa potential sana 😀😀
umekataa kabisa gape la UkraineKabisa mamy
Ngoja nimpange baba PastaaaaKuna vingi sana, nitakufundisha hata kuwinda 😊😊
🤣🤣🤣🤣 jamani kwa mama kumenogaumekataa kabisa gape la Ukraine
Kwa hiyo suti lazima ningekusogelea
Baba pastaa tena.. unakuja na kurudi tu 😎😎😎Ngoja nimpange baba Pastaaaa
ujue unakosa fulsa 😊😊🤣🤣🤣🤣 jamani kwa mama kumenoga
😋😋😋😋.. eeh kumbe kwa lezima 🚶🚶🚶
Tupo tukiwa tunapitia tuu huwa inatosha kabisa.Wakongwe wa selfika
Mnaanza kurejea
Safi
Selfika ili tukusabahi