Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,857
- 141,283
Daaah[emoji2][emoji2] si unajua sasa hivi watu wana mambo ya kiwaki.. wanapost picha second 10 haimo.. wanafuta.. ukisema tu u reflesh inatoka.. nipo nafatilia wachambuzi wa vita vya Russia na Ukraine kumbe JF tuna wachambuzi wengi sanaa
@cocastic wa kawaida sana mbonaMbwa mkali huyu lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikipata game ni mpera mpera hadi mtoto wa mtu akome 😃😃Vyakula vyako sasa very expensive, siku ya kula vya asili lazima tumbo lishangae lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa kishua tukionana tena inabidi tunywe chai na hivyo vikorochoko.Mda wa chai huu ndio tumeamkaView attachment 2132853
Wacha wee namuona bibi kwa mbaliii, uwiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asa hapo una fail, game ni fair play sio final ile bhana khaaahNikipata game ni mpera mpera hadi mtoto wa mtu akome [emoji2][emoji2]
We mwamba kumbe una baby face hivi!??
Aaaaah wee lol@cocastic wa kawaida sana mbona
Hivi umeshamaliza UE mdogo etu?Wacha wee namuona bibi kwa mbaliii, uwiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kheeeeh kumbe wee ni yankiiii, sasa avatar yako hii najuaga wee n old sanaa, khaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nani kakuambia game ni fail play lazima unapigwa kitu hadi damu itoke 😃😃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asa hapo una fail, game ni fair play sio final ile bhana khaaah
Kwendaa hukoooooooh msieeeeeew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaushaaaa
😃😃😃😃😃 karibu tuuu upate mlo mlo mtamu mtamuWa kishua tukionana tena inabidi tunywe chai na hivyo vikorochoko.
Ila utawaambia wanipe tu maji ya kunawa..hivyo visu na umma watabaki navyo tu,wasiweke.
Eeeeh nimemaliza cc, yaan hapa ni full kulala na kuamka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi umeshamaliza UE mdogo etu?
Halleluya[emoji173][emoji122][emoji122]Hakika Mungu nimwema. Tuzidi Kumtumainia Yeye siku zote #mySundayServiceView attachment 2132821View attachment 2132822
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata km sio kwa style hiyooo, inaua vibeee na kupunguza utamu.nani kakuambia game ni fail play lazima unapigwa kitu hadi damu itoke [emoji2][emoji2]