Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

That one guy who's always excited to see you [emoji4][emoji4]
CLASSICAL CONDITIONING
Hooman=treats, belly rubs and chasing meaows together
IMG_20220227_075427_868.jpg
 
Huyu cocastic na haka kabody kake unakatemvea nacho Hadi sebuleni huku unaendelea kupiga kinanda huku yeye anasifu na kuabudu.Kabody Fulani hivi Ka kilo 40[emoji3]
Kwamba unatembea nacho hadi sebuleni huku unaendelea kupiga kinanda

Hahaha...najaribu kuwa muda huo unatembea nae huku dushe limo ndani au vipi mkuu?
 
Na wewe unaonekana ni hatari eneo hilo, ngoja niwaambie Wazee wenzangu wakae mguu sawa. Wasije jikuta pension yao yote wanakukabidhi wewe [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha bhana, pension kuduvua kawaida, tena unifanyie mpango kwa m1 unaeona pension yake inapumua huko bank, ili niisaidie mie kwa mirija. Uwiiiiiiih
 
Kama alivyojilipua Linda Joseph kwa mume wa mtu... Ahahahahahaha
Sasa mlongo maisha haya bila kujilipua hutoboi, waume za watu wanajua kujali na kuhudumia, kwann wasigandwe? Sasa hawa vijana kutwa kushinda Gym utadhan wanawake wanakula six packs zao lol, waume za watu hoyeeeeeeeeeeeeeh, tuishi humo tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom