Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Mungu akubariki na wewe uliyeniita.🥰Habari za asubuhi mkuu View attachment 2132694
Mungu akubariki na wewe uliyeniita.🥰Habari za asubuhi mkuu View attachment 2132694
Babu anasema uje uchukue mwenyewe 😂Hebu mfanyie mjukuu muamala mdogo tyuuh, ili chakula cha kiroho kiambatane na sadaka takatifu iliyo bora.![]()
Fanya kitu basi. Nimebaki Mimi TU kushuhudia uumbaji boraPole ila amazing sanaaa.. huchoki kutazama
Morogoro 😀Location?![]()
Hata ukimnunisha nayo bado ni ze mosti byutifu thingi. Tabasamu linalokuja baada ya mnuno ndiyo tabasamu la kweli (- SYB 2022)The Most beautiful thing is a see a person you love smiling. And even more beautiful is knowing that you are the reason behind it.
Happy Sunday guys.View attachment 2132786



Hiyo ni baada ya makeupHata ukimnunisha nayo bado ni ze mosti byutifu thingi. Tabasamu linalokuja baada ya mnuno ndiyo tabasamu la kweli (- SYB 2022)![]()
nanihii!!??😃😃😃 unataka kuona ya mamaa pastaaa... ana kitu flani hivi hatari sijaona aseee.. kasema atarudi kupost tenaFanya kitu basi. Nimebaki Mimi TU kushuhudia uumbaji bora
Daaah Sasa kumvizia nayo ni kazi, nipo busy naandaa somo (training manual).unataka kuona ya mamaa pastaaa... ana kitu flani hivi hatari sijaona aseee.. kasema atarudi kupost tena
😃😃 si unajua sasa hivi watu wana mambo ya kiwaki.. wanapost picha second 10 haimo.. wanafuta.. ukisema tu u reflesh inatoka.. nipo nafatilia wachambuzi wa vita vya Russia na Ukraine kumbe JF tuna wachambuzi wengi sanaaDaaah Sasa kumvizia nayo ni kazi, nipo busy naandaa somo (training manual).
Nipasie kapicha ndugi yangu nimuone View attachment 2132848
Ameeeeeeen!!!Hakika Mungu nimwema. Tuzidi Kumtumainia Yeye siku zote #mySundayServiceView attachment 2132821View attachment 2132822



MmmmmmmhMie huwa naendana na hali ya mtu, akinywa Viagra afu umri wake hauruhusu nampa fair play, yaan ile aste aste,afu full kuenjoy yaan
Vyakula vyako sasa very expensive, siku ya kula vya asili lazima tumbo lishangae lolMda wa chai huu ndio tumeamkaView attachment 2132853



