Bado, nipo sehemu hata sielewi..Ila naelekea upande ambao nitakuwa kama Suleiman [emoji23][emoji23]Hahaha rafiki yangu , kwa hiyo ushaslimu [emoji28][emoji28]
Jf imebarikiwa aiseeHumu ndani kuna warembo lukuki, afu kuna watu wanasema Jf Wanawake wana sura za baba zao, akati watoto wakaree na wazureer wako humu, kuna viumbe wanafaidi jomoneeeeh uwiiiiih [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Poleeeeh sana rafiki, nimeona ulivyo m quteee. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Yaani nimetype haraka nikakosea
Fanya kile moyo unapenda rafikiBado, nipo sehemu hata sielewi..Ila naelekea upande ambao nitakuwa kama Suleiman [emoji23][emoji23]
M1 wapo ni wee, yaan uko vizureeeeh. [emoji7][emoji7][emoji7]Jf imebarikiwa aisee
Warembo wapo humu
Ooh nahisi make up ilichangia siku hiyo ..Poleeeeh sana rafiki, nimeona ulivyo m quteee. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Thank you for the compliment [emoji3531]M1 wapo ni wee, yaan uko vizureeeeh. [emoji7][emoji7][emoji7]
Aaaaah wapi wee ni mzuri bhana, afu hizo nywere zako? Km ni zako hongera sana, unajua kuzitunza mno. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Ooh nahisi make up ilichangia siku hiyo ..
Tusura kakawa hivyo .
Ila sisi tunazikubali ivyo ivyo mkuuAwwwh thanks
Siku hizi picha hazinikubali kabisa [emoji23].
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]Thank you for the compliment [emoji3531]
Sio zangu rafikiAaaaah wapi wee ni mzuri bhana, afu hizo nywere zako? Km ni zako hongera sana, unajua kuzitunza mno. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Usiku mwema pia rafikiGuys, ladies of jf are just[emoji8]!
Bahati mbaya tunaambiwa tuchague wachache tu[emoji23][emoji23]!
I've really enjoyed japo kuchelewa kulala.
Goodnight y'all!!
Asante sana kwa kuzikubaliIla sisi tunazikubali ivyo ivyo mkuu
Na natumai kabla sijalala ntapata kusafisha macho..[emoji12]Asante sana kwa kuzikibali
Basi naomba urafiki na wewe[emoji4]
Siku nyingine rafikiNa natumai kabla sijalala ntapata kusafisha macho..[emoji12]
Hapana mkuu hausiki Kwa namna yoyote.mtake radhiBila Shaka ni mkuu Mr Shimba Ya Buyenze
Nimeelewa rafikiSiku nyingine rafiki