cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,176
Wacha wee unaapiga ulabu tyuuh.Leo nipo na castle lite tu mpendwa…





Wacha wee unaapiga ulabu tyuuh.Leo nipo na castle lite tu mpendwa…





T mambo zako
Bila Shaka ni mkuu Mr Shimba Ya BuyenzeKuna mtu nisipomuona huku moyo wangu unakosa utulivu na kuruka kichura chura
😂😂😂😂🤣Denda tena?..
Mimi navuta picha Tu hako kamwili Kako vile naweza kukubeba na kuzunguka chumbani kiwepesi huku najilia vyangu..ni mawazo Tu lkn![]()
Water ☺☺What are you washing down with?![]()
OkayUsitoke hapo dia!
Hahaha....kwamba unamubeba na kumzungusha chumbani kiwepesi huku unajilia vyako!!Denda tena?..
Mimi navuta picha Tu hako kamwili Kako vile naweza kukubeba na kuzunguka chumbani kiwepesi huku najilia vyangu..ni mawazo Tu lkn![]()
Mie nigawie shape shos, just imagine naambiwa "tatizo huna taccall ndo maana hunistui" afu mtu unakubaliiiii kinyokooo hebu fikiria maumivu yake?Kweli tena shos!!







Vizuri sana kama ni kwema sana tu....Kwema sanaaaah tyuuh. Vip wee?
Denda tena?..
Mimi navuta picha Tu hako kamwili Kako vile naweza kukubeba na kuzunguka chumbani kiwepesi huku najilia vyangu..ni mawazo Tu lkn![]()





Dr leo hauko zamu? Unajua wembamba ndo wazito? Mifupa na nyama ina uzito mifupa wee hujui?Wacha wee unaapiga ulabu tyuuh.![]()
Vizuri sana kama ni kwema sana mkuuKwema sana mkuu
Vizuri sana kama ni kwema sana tu....
Mimi niko poa/salama kabisa mkuu
Naona ugonjwa wangu




wakienyeji nawqgawa bureeeh, nlikua naeazaga utani, siku hiyo ngosha wq class letu ananambia wazi wazi, hiyo rangi tyuuh mie namalizwa, nilijiskia aibuuuh lol.Aiseeeeeeeee!!Yeah ukitongoza unachezea vitasa![]()
Usipopenda papuchi, utapenda bia ndio nature ilivyo bosslady…





aaaah wapi wee kujiendekeza tyuuh.Hahaha....kwamba unamubeba na kumzungusha chumbani kiwepesi huku unajilia vyako!!
Najaribu kuwaza jinsi umemuba halafu unajilia vyako mkuu






watu mna visa sana khaaah lol.Hivi unajua mimi na wewe ni marafiki ?Aiseeeeeeeee!!
Umenishinda tabia we mtotoaaaah wapi wee kwa wakubwa gani? Hao wakubwa naweza kuwabeba kifuani na wakatoa lugha 27 wanazopaswa kunena, na wanatoa machozi ya haja hadi kamasi puani, naanzaje kuwaogopa?
Unyagoni na msondoni tulifunzwa ukiweza kumbeba mtu mkubwa kifuani na akatoa kilio bas jua nawe mkubwa, tofauti ni umri tyuuh, na umri ni namba tyuuh, uko hapo wee Dr? Hahahahah