Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

land navigation ni geography mtupu. na jeshini hasa kwa special forces lazima wawe na skillis ya juu sana kwenye hiyo kitu
Kumbe special forces wako deep sana kwenye hilo eneo🙌

Miaka Fulani jirani na Kambi Fulani ya Jeshi walikuwa wanafichiwa vitu then wanaambiwa waje watafute Kwa kusoma kwenye ramani.

Ilikuwa tunawaonea huruma then kisiri Siri ukiwaonesha wanakupa hela kama zawadi manake unakuta wamekaa tangu asubuhi wanatafuta bila mafanikio
 
ndio hiyo land navigation skills..

😀😀😀 walikuwa wanadesa kwa raia wema.. ila geo uikute wame i digitalize ndio utaipenda aisee.. sio sie huku bado tupo kwenye manuary tunaumizana sanaaa...
 
Nadhani hata kwetu huku wanahitaji uwekezaji kidogo kwenye hilo eneo ili kuendana na kasi ya teknolojia iliyopo.

Kama wenzetu wamefika kwenye Robots na Sisi pia inatupasa kukimbia mwendo wao
 
Friday flan amaizing
20220225_130705.jpg
 
Nadhani hata kwetu huku wanahitaji uwekezaji kidogo kwenye hilo eneo ili kuendana na kasi ya teknolojia iliyopo.

Kama wenzetu wamefika kwenye Robots na Sisi pia inatupasa kukimbia mwendo wao
😀😀😀 sie nahisi hatuna maadui wakufanya tu invest billions of dollar kwenye weapons na tools za kisasa

Land navigation is a core military discipline, which uses courses that are an essential part of military training.
220px-US_Army_52149_Sgt._Joines_on_the_night_course.jpg
 
Back
Top Bottom