Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Ni vikuku mkuu. Miguu yote miwili imekukishwa!Nimeona "kikuku" na beer tu![]()



Ni vikuku mkuu. Miguu yote miwili imekukishwa!Nimeona "kikuku" na beer tu![]()



Somo hili nilitokea kulipenda sana wakati ule nasoma lakini tangu niliposhindwa kuelewa Physical Geography kutokana na Usharo wa Mwalimu wangu, nikasema bora nikasome zangu PCM tu kuliko kwenda kutia aibu kusoma PGM alafu nije nikose hata principal pass kwenye Geography
Ila ni somo zuri sana hasa Map reading, Photography, Regional and Focal studies, Statistics n.k ambapo ilikuwa marks nyingi lakini ni za uhakika![]()
Ubaya wa hili somo ni kuwa halitaki mbwembwe. Jibu swali kwa ufupi na kwa ukamilifu. Ni sayansi hii. Ukicheza kidogo tu utajishangaa unatoka na B au C. Mojawapo ya masomo rahisi kabisa kabisa!Somo hili nilitokea kulipenda sana wakati ule nasoma lakini tangu niliposhindwa kuelewa Physical Geography kutokana na Usharo wa Mwalimu wangu, nikasema bora nikasome zangu PCM tu kuliko kwenda kutia aibu kusoma PGM alafu nije nikose hata principal pass kwenye Geography
Ila ni somo zuri sana hasa Map reading, Photography, Regional and Focal studies, Statistics n.k ambapo ilikuwa marks nyingi lakini ni za uhakika![]()
😀😀😀 hao watanihujumu.. tuu mkuu.. nipe maksi zangu nilale mbeleNitaomba external examiners wa JF waje wasahishe paper yako 😂🙌
Ha haaaEwaaaa... vikukuuu, vipini, tatooo ugonjwaaa kabisa wa kijana wa hovyo hovyoo.. jamaa mpe hongera![]()
ShikamooNi vikuku mkuu. Miguu yote miwili imekukishwa!![]()
Mimi sijakuona lakiniMimi nimeselfika jana live bila chenga
Heaven Sent ni shuhuda
Mkuu umepiga hii pic ukiwa Picnic villa hotel?View attachment 2130533
What type of photography is this?(2 Marks)
What is the time when the photography was taken (2 marks)
What are economic activities carried out in that area? (6 marks)
Geography ni 🙌🙌
Sure ni vikuku hahahaNi vikuku mkuu. Miguu yote miwili imekukishwa!![]()
Mkuu bariki ijumaa kwa pic moja matata

Njoo tucheze mchezo wa laki basi 😀😀😀Harakati za mtu mweusi
View attachment 2130592
hahahaaa.. Ngoja nijenge taifa hapa kwanza badae kidogo nistue!Mkuu bariki ijumaa kwa pic moja matata![]()
Tunapokezana, pole sana!!Asante kwa wimbo..
Umekuwa faraja kwangu hasa kwa siku ya leo iliyogeuka kuwa mbaya mapema sana.
😂😂😂😂😂😂 wa kwanza mimiNjoo tucheze mchezo wa laki basi 😀😀😀