Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Vale jilipue

Selfika mkuu wamesinzia
Bado wewe
IMG_20220214_153918.jpg
 
Aisee hili somo
Somo hili nilitokea kulipenda sana wakati ule nasoma lakini tangu niliposhindwa kuelewa Physical Geography kutokana na Usharo wa Mwalimu wangu, nikasema bora nikasome zangu PCM tu kuliko kwenda kutia aibu kusoma PGM alafu nije nikose hata principal pass kwenye Geography 🙌

Ila ni somo zuri sana hasa Map reading, Photography, Regional and Focal studies, Statistics n.k ambapo ilikuwa marks nyingi lakini ni za uhakika 💪
 
😀😀😀 tulipiga sana hizi kipindi tupo na course ya land navigation skills.. hatari sana
 
Back
Top Bottom