Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Mbona sijakuona sasa 🤓M
Mtaani kwetu
Mbona sijakuona sasa 🤓M
Mtaani kwetu
Selfika basi kwaajili yanguHivi kweli eeh...!
Basi unabahati mbaya, ziko nyingi sana zimekupita, tuselfike basi rafiki yangu
Ankoo shkamooAnko![]()
Nimecheeka
Imeisha hiyoYule ntamtumia mwenyewe PM
Kilichokuchekesha?Nimecheeka
HampatiImeisha hiyo
Akipata nimepata
Kama jana nilivyopata akapata.
Eti hamsini au tano?🤣Kilichokuchekesha?
Uanze tu!Hampati
HovyooooEti hamsini au tano?🤣
Msije tuUanze tu!
Labda kama hutaki tuje kukusalimu😁
🤣🤣🤣🤣🤣Msije tu
Aje peke yake, wewe sikutaki🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli??
Hivi hapa nilikuwa namwambia tuje weekend
Kwanza rudisha picha ulizofuta aiseeHovyoooo
Alipo nipo🤣🤣🤣🤣🤣Aje peke yake, wewe sikutaki
Sirudishi na furaha zaidi ntaipataKwanza rudisha picha ulizofuta aisee
Vinginevyo utapishana na furaha zakdi ya ile ulipata jana.
Anhaaa! We mjeuri eeh???Sirudishi na furaha zaidi ntaipata