Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Ukiwa macho na WTI pamoja na Gold... kuna kujaza rumbesa 😀😀😀 niliwekwa chini ya ulinzi na mwarabu ja gold ila nimefanya add more alafu nafanya kama sioni hadi next weeek
Gogo unamjuaje???Umeona eeeh..sema anaonekana gogo
Ndio kumfanyeje hukoo??Ningekuwa
Karibu
Ningem nyanza

weka vitu vinono basi😜😜😜😜😜😜 mjedaaa!
😀😀😀 bado miezi nane tu sio mingi sanaa japo jasho jingi sana.. huyo kujiigeuza hadi umuweke kakofi kauongo na kwelii akikaa chalii ndio chaliiiGogo unamjuaje Hakii Utafika kwa tabu sana!!!
Nimeagiza ugali Nyama hapa ngoja wanilelee niisnap kabla sijalaweka vitu vinono basi

! !kweli Sijui lugha zenu wa mjini mnazielewa wenyewe!!!Acha
Bhas
![]()
Unyama sanaaaa.. Bayerische Motoren Werke
favorite spot coco beach , Kuna back up ya kuongeza na mihogo msosi usipotosha
hahahahaNimeagiza ugali Nyama hapa ngoja wanilelee niisnap kabla sijala! !
Jamaa wanajua sana kuchoma mihogo sema vi mishkaki vyao ndio sivielewagi😀😀😀favorite spot coco beach , Kuna back up ya kuongeza na mihogo msosi usipotosha
![]()


hata mimi sijawahi vielewa vile vi mishkaki🤣 ile usipokua makini unang'ata hadi ule mti wenyewe🤣Jamaa wanajua sana kuchoma mihogo sema vi mishkaki vyao ndio sivielewagi😀😀😀
Namna ambavyo namla broker pale natafuta nauli ya flight kwa lazima 😀😀😀😀😊😊.. namla mdogo mdogo kwa small account...hata mimi sijawahi vielewa vile vi mishkaki🤣 ile usipokua makini unang'ata hadi ule mti wenyewe🤣
safi sana mkuu, umetisha sana, mimi hata nikikusanya 5usd kwa siku sio mbaya😂, nawaza kama wale wakulungwa wa the richest man in babylon😂. kutunisha mfuko.Namna ambavyo namla broker pale natafuta nauli ya flight kwa lazima 😀😀😀😀😊😊.. namla mdogo mdogo kwa small account... View attachment 2127329
hii ndio forex?Namna ambavyo namla broker pale natafuta nauli ya flight kwa lazima 😀😀😀😀😊😊.. namla mdogo mdogo kwa small account... View attachment 2127329
Nakuza hiyo account, hii naangalia mwendo wake.. usiku nikishapata picha kamili ya hii nafungua bomba paka mwisho.. hii ni account ua challenge form $2,000 to $20,000safi sana mkuu, umetisha sana, mimi hata nikikusanya 5usd kwa siku sio mbaya😂, nawaza kama wale wakulungwa wa the richest man in babylon😂. kutunisha mfuko.
ndio Uncle..hii ndio forex?