Umekuwa kalevi kweli wewe siku hizi.Bado mwaya[emoji17]
Kula hii Dunia na yote yaliyomo ni yetuKuna watu wataishia kula nyama tuuu,ila sisi walajiii sasaa....
KaribuniView attachment 2127212
Nilivo na ubao hapa sasa sioni hata dalili duh!!!!!![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]!!!Kuna watu wataishia kula nyama tuuu,ila sisi walajiii sasaa....
KaribuniView attachment 2127212
Gold na WTI vimetia mtu kati 😃😃😃😃😃 sidhani kama kutakuwa na usalama.. Putin atoe kauli ya kiungwana nitoke kwenye kanyampasira aiseeKula hii Dunia na yote yaliyomo ni yetu
chakula kinakula chakula umeona wapi 😎😎Nilivo na ubao hapa sasa sioni hata dalili duh!!!!!![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]!!!
Enjoy your meal mkuu!
The way nilivoanza acha tu ilibidi coz nilikula urojo kwa mara ya kwanza na bahati mbaya wa siku hiyo haukua mzuri (kwa mujibu wa mwenyeji nilieenda nae)wee acha utani ujue kuanza na kuanza tu na JD??? Sio kali Kweli ?? Jack Palladino do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
Umekuwa kalevi kweli wewe siku hizi!Hapa koo linawasha
Afu hii story ya kuanza kunywa JD ilianza last week, sikua nakunywa alcohol kabisa mimi[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niwache hukooo we msukumaUmekuwa kalevi kweli wewe siku hizi.
Na unavyoringa na hicho kimini chako sasa…
We sikuachi! Mpaka ukome ulevi wako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niwache hukooo we msukuma
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218]chakula kinakula chakula umeona wapi [emoji41][emoji41]
😔😔😔😔😔😔😔😔😔[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218]
Juzi wakanijaribishia grants ikanishinda[emoji28]We sikuachi! Mpaka ukome ulevi wako.
Basi ntakununulia Hennessy….Juzi wakanijaribishia grants ikanishinda[emoji28]
Lol ndio kwamba practice makes perfect ausio!! ushaonja huwezi acha wewe ona koo linavokereketa lipate JD sasa!!Sasa from there nikatokea kutamani tena na tena JD
🙆🙆🙆🙆🙆🙆Juzi wakanijaribishia grants ikanishinda[emoji28]
hahahaha.mie nikiona mdada yuko hivyo ,nitakavyomchukulia atanisamehe😀😀😀😀 ogopa sana vipini, tatooo, nywele zimechomwa kama beki hazikabi utakoma
Navaa jubaBasi ntakununulia Hennessy….
Ila uje umevaa kijanja. Ukivaa kishamba kama uko Arusha nakukana sikujui.