Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Broker gani huyu..?
Ume mpenda..

NDINDA
Screenshot_20220222_184237_net.metaquotes.metatrader4_edit_50286539731388.jpg
 
Tatizo halijawai kuwa broker 😀😀😀😀... tunamsingizia
Tatizo ni elimu eti..? Haha no mkuu brokers wanamatatizo yao pia Mambo ni mengi hakuna sehemu ya fedha isiyo na figisu,figisu zinapungua zaidi pale broker anapokuwa na leseni inayotoka mahali ambapo hakuna longolongo na usimamiaji ni mzuri.. Kuna brokers wana spreads za msamba!😂

Mpaka leo sijajua kwanini tickmill ikifika usiku wa saa sita spread huwa zinatanuka kiwango cha msamba msambano..😅
 
😀😀😀 Elimu.. Spread huwa zinaongezeka ( kuna sababu ambazo trader lazima uzijue) kama huzijui rudi shule.. Ndio maana kuna aina ya broker. jipimie tu mkuuu.. ENC, STP etc.. chagua ndio maana broker wengine less than $ 10,000 hufungui account
 
Haha! Forex naipenda kinyama sahivi nimestop kiasi kwanza sasa broker wa kiasi hicho kibongobongo hataambulia mteja.. bado najifua mimi ila nachoshukuru nishajua madhaifu yangu.. sometimes ukishazipiga unaanza kuingia ki kenge kenge halafu nayo inakuonyesha ukenge!..🤣 nadili na saikolojia yangu sahivi.
 
ukishindwa develop principle au rules za kuku guide, lazima ukalie msumali.. lazima ujue namna unwvyopata faida na namna unavyopata hasara
 
Kuna kipindi nilikuwa naenda vizuri kabisa ghafla shetani akaniletea dada fulani hivi mfupi mweupe!,akaushika moyo wa forexer nikawa phonexer..🤣

Mkuu soft copy za vitabu unavyoviaminia vihusike kidogo au madini fulani hata pm yahusike ili nikirudi nirudi na defensive system ya maana..😅
 
Madada.. hela na wanawake avikai pamoja, chagu kimoja mapenzi au pesa.. kimoja kijenge base ya kingine..
 
Back
Top Bottom