[emoji1787]Sema kweli[emoji849][emoji849]?
Mie shingo tu jamani22022022View attachment 2126986
Good morning [emoji1672]!
Ni kama yako !!Ushapata JD????Mie shingo tu jamani
Pesa sabuni ya rohoWigelekelo Kama tulivyokubalina weekend ni jumanne na jumatanoView attachment 2127044
Hiyo imepitishwaWigelekelo Kama tulivyokubalina weekend ni jumanne na jumatanoView attachment 2127044
Yaani mikono yangu unasema vituko!?Mama mchungaji acha vituko [emoji28][emoji28]
Bado mwaya[emoji17]Ni kama yako !!Ushapata JD????
😀😀😀😀 ogopa sana vipini, tatooo, nywele zimechomwa kama beki hazikabi utakomaHiyo imepitishwa
Halafu uache uchochezi[emoji1787]
Safi sanaa.. weekend za jumanne na jumatano huwa zinanoga sanaaa
acha tusuuze rohoPesa sabuni ya roho
Badae tukutane mwanza 😃😃😃😃😃Pesa sabuni ya roho
Sponsors wanakwama wapi lakini doh!!Bado mwaya[emoji17]
Hapa koo linawashaSponsors wanakwama wapi lakini doh!!
Prevailing rate ya tzs/usd ni ngapi?
Hapa koo linawasha
Afu hii story ya kuanza kunywa JD ilianza last week, sikua nakunywa alcohol kabisa mimi[emoji28]