Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Wee mwenyewe unayo kibaoo weeeh naijua shingo yakooooo 🙄😜😜Naomba hiyo mikato ya shingo mrembo
Hahaa!!!Hizo lips dah vijana tutafute hela
😴😴😴😴😴😴😴😴😴Sawa sawa boss lady
😘😘🥰🥰😍 Juzi ulizingua ujue!!Wow, so biuriful
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Akafie mbele
Huko
Upss huko nshatoka niko daslam [emoji22]Njoo hapa uzunguni upate JD
Haa umeanza lini tabia ya kujaza watu[emoji28]Wee mwenyewe unayo kibaoo weeeh naijua shingo yakooooo [emoji849][emoji12][emoji12]
Tena yako nene hadi raha
Bahati siyo yakoUpss huko nshatoka niko daslam [emoji22]
Yule my ex ndo alizingua mpaka sahii hajatuma hiyo JD[emoji8][emoji8][emoji3059][emoji3059][emoji7] Juzi ulizingua ujue!!
Karibu sana, nikuagizie na Pepsi/Coca au Serengeti?Nakuja best
Siwajazi nasema ukweli!!! umenonaa sio kidogo!!!!😜Haa umeanza lini tabia ya kujaza watu[emoji28]
Saint Anne upo au upitwe tu?
Jack Palladino habari za kutwaa????!✋Yule my ex ndo alizingua mpaka sahii hajatuma hiyo JD
Hapana mpendwa, ila ni moja ya kabila wanaokula ugali asubuhi badala ya Chai kama ilivyozoeleka maeneo mengine 😋Na wewe ni msukuma kwani?
Hofyoo. Kalale hukoNipitwe[emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapana mpendwa, ila ni moja ya kabila wanaokula ugali asubuhi badala ya Chai kama ilivyozoeleka maeneo mengine 😋
Nimeona umelalamika kaugali kadogo nikajua ni ngosha mojaHapana mpendwa, ila ni moja ya kabila wanaokula ugali asubuhi badala ya Chai kama ilivyozoeleka maeneo mengine [emoji39]