Ni hawa wa kishua waliokulia mijini. Hovyo tu
. Binti yangu kakulia nje lakini nimepambana kuhakikisha kuwa anakifahamu Kisukuma vizuri kuliko hata Kiswahili. Na hapa tunapoongea anakamilisha kitabu cha watoto kwa Kiingereza kuhusu hadithi za mashing'weng'we. Na zote alisimuliwa na bibi yake tena kwa Kisukuma kile cha ndani kabisa.
Ni aibu sana kwa Msukuma kwa kutofahamu Kisukuma