Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Kwa nini waisafishe?Mama Mchungaji aselfike ili hata kama picha ikiwa mbaya tuipeleke makao makuu ya Samsung ikasafishwe.
Mama Mchungaji usituangushe!



Kwa nini waisafishe?Mama Mchungaji aselfike ili hata kama picha ikiwa mbaya tuipeleke makao makuu ya Samsung ikasafishwe.
Mama Mchungaji usituangushe!



Byeeeeeehaya mama pastaaa.. Asante Yesu Kwa ajiri ya maisha yako.. Bye mamaaa
Fanya kweli basi Mama Mchungaji jamaniAbeeeee



Acha upambe MtumishiFanya kweli basi Mama Mchungaji jamani
Mi sijawahi kukubahatisha
Sidanganyiki ng'oooooooOops! In case ikiwa haijatoka vizuri![]()
Huyo ni wewe na wifi?
Dah!






HakikaHuyo ni wewe na wifi?
KapikeeeeDah!
Naona wote wanaaga...
Nimebakia peke yangu Mama Mchungaji. Usiniangushe basi jamani![]()
Msalimie sana wifiHakika
ZimefikaMsalimie sana wifi
HahaaaaaaSiyo shemeji yangu mke ya Wasukuma huyu kweli?![]()
Hivi huyu JD si ni mwanamuziki,au kuna Jay Dee mwingine katoka!Kesho nitakucheki tunywe JD
Yaani chupa za bia zinatengenezwa vizuri na kwa kupendeza mno,,zimenakshiwa kana kwamba kilichopo ndani kinaeleweka ,kumbe ni upuuzi tu humo ndani.The weekend...View attachment 2124087
Katika vitu sichezi navyo maishani basi ni maji