Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
[emoji1787][emoji1787]mahaba na raha zake zipo kwenye lugha... na sauti tamuuu jiranii [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
sauti inatokea.... kwenye hisi za.....
sauti inakuwa connected na milango sita ya fahamu...
kila neno linatibua kila kilichofichikaaa....
sauti iliyobeba nguvu ya kuhamisha...... [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
utasikia tuu... sawa mamaaa... yoteee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti nini[emoji848]