Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,217
Tangu ile siku sijaona tena Selfie yako!
Nilitupia, sema hapa katikati nimeingia mara chache sana. Hata wewe sioni notification zako kabisa.Tangu ile siku sijaona tena Selfie yako!
aahh mi natupia sana tu mbona!Nilitupia, sema hapa katikati nimeingia mara chache sana. Hata wewe sioni notification zako kabisa.
Sidhani, sizioni kabisa.aarrrghh mi natupia sanaaaa!
Weekend fureeesssshhh kabisa! Eneo moja tulivu sana!Sidhani, sizioni kabisa.
Ila sio mbaya, uko mzima kabisa?
Weekend wapi hii?
Safi sanaa..Weekend fureeesssshhh kabisa! Eneo moja tulivu sana!
kabisa rafiki!Safi sanaa..
Maisha ndo haya haya.
Ooops utaniua mrembo!...check dm!On ma way there usitoke!![]()
casual style! imakaa mahala pake ✌️✌️!!
hahaa!!Ooops utaniua mrembo!...check dm!
usiwaze pamoja sana rafiki ✌️✌️!Haya enjoy, ukitukumbuka utusnapie walau kidogo tupate hata harufu ya bata lako.
Me ndo nimepata muda wa service leo.View attachment 2124088
DMhahaa!!

Vizia ile mida yetu mkuu nashusha mzigo live bila chengamkuu Selfika basi!!
mbona sikuoni mkuuBlock 41,ada estate
Toroka uje
Bia,nyama choma
Karibu kwa aliye karibu
Kumbe na wewe ni Muhandsome eeh!!.
