Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😄😄😄😄 jirani sie yetu amani... furaha kwetu ni pumzi, ucheshi ni dawa.. upendo ni maisha yetu... 😎😎😎.. mwiko kumkwaza mtu 🚶🚶🚶🚶

Mwiko kumkwaza mtuu jirani...

20220219_230106.jpg



Getting recovery from injuries...😉.

Halafu kuna hii....

Hot chocolate milk, carrot cake with asali pembeni.....😋😋😋😋.
 
Mwiko kumkwaza mtuu jirani...

View attachment 2124379


Getting recovery from injuries...😉.

Halafu kuna hii....

Hot chocolate milk, carrot cake with asali pembeni.....😋😋😋😋.
🥒🥒 usisahu hii na maganda yake 😃😃 na ka kungu pembeni jirani..

😄😄😄😄... raha yake hapo kama upo mbinguni ya sabaaaaa

haiwezekani kuacha raha hizi 😋😋😋
 
😃😃😃😃.. kuyaacha sawa na kuidhulumu uhai nafsi yako.. haya ni kama built in 😋😋😋😋

kuna juice ya kungu jirani...

na kuna ule utulii ukiisikia tu harufu yake ( yaaani hooi alafu ni asili natural yaani) nisije utaja hapaa internet isije pata taabu...

haiwezekani haiwezekani raha ipo ndani na sio nje 😃😃😃😃

Jiraaaniiiii......

Naanzajeeee.....

Kasinde mimiii ooiioooiiii naaanzajeeeee.....

Raha juu ya raha towers...😊.
 
Nikienda mashariki ya kati nitakuletea karanga mwitu a.k.a Karanga za Israel... yaaani moto wakeeee.... 😋😋😋😋.. zinapdisha joto la nyamaaa paka basi.. huwezi kinai mlo.. utakula na utakula tena na ukizila utakula na kula tenaaa.. Jirani by 🙋‍♂️🙋‍♂️

Nazisubiri kwa hamu jirani....

Peanut butter mwitu itahusika....

With a baked brow bread from Kasinde's stove....

Blessed palms, not only massage flesh but wheat too...😇.

I love eating...😋.
 
Jiraaaniiiii......

Naanzajeeee.....

Kasinde mimiii ooiioooiiii naaanzajeeeee.....

Raha juu ya raha towers...😊.
mahaba na raha zake zipo kwenye lugha... na sauti tamuuu jiranii 😋😋😋😋

sauti inatokea.... kwenye hisi za.....

sauti inakuwa connected na milango sita ya fahamu...

kila neno linatibua kila kilichofichikaaa....

sauti iliyobeba nguvu ya kuhamisha...... 😋😋😋😋

utasikia tuu... sawa mamaaa... yoteee 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom