Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,830
TRA shemeji. Tiaraeiiiiii [emoji860][emoji860][emoji860]. Shwaini zao Tiaraeiii [emoji351][emoji351][emoji351]...Shemeji kumbe hili gari halikuvuka?!! Kuna kipindi nilitamanipo kuosheapo kanyota kangu,nikataka nikupigie simu,hofu yangu ikawa "litakuwa limeegeshwa Koromijeee..."
Yaani tozo walizotaka kunipiga zinatosha kununulia vi-IST hata vitano vipya basi nikasema isiwe kesi...nitakuja kivingine mpaka hawataamini yaani.
Fikisha salamu kwa dada yangu mpendwa pamoja na wapwa zangu. Natumaini hata wewe uko sawa. Tumshukuru Mungu shemeji [emoji1545][emoji1545]