Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Anataka nimzabue
Anataka nimzabue
Ndo maana magonjwa ya kila aina yanatuandama. Tunakula makemikali tu yaanimanumbu.. maisha ya nyakati hizi watu hawataki mambo kama haya



Shemeji kumbe hili gari halikuvuka?!! Kuna kipindi nilitamanipo kuosheapo kanyota kangu,nikataka nikupigie simu,hofu yangu ikawa "litakuwa limeegeshwa Koromijeee..."
Kwani mlivyoandaa ya kwenu leo; sisi tulikuwepo?Hivi unadhani ataandaa hiyo outing halafu mimi nisiwepo!🤣
Ni ndoto za mchana hizi🤣🤣🤣
Tena nitakuwepo na kaka.
Basi mponze mwenzio aandae bila mimi kuwepo🤣🤣🤣Kwani mlivyoandaa ya kwenu leo; sisi tulikuwepo?


Sasa tukiwa wawili si ni hasara mara 2
Akataka tuongeze kahawa,sema nikajitia mzungu nikazuga kukataa🤣🤣🤣🤣
Basi mponze mwenzio aandae bila mimi kuwepo🤣🤣🤣
Nisipoenda ya kwanza basi sitahitaji tena kwenda.
Daahh!umeongea halafu umeonge tenaHalafu unajua nini? Ukiwa bado mdogo sisi wanaume tunakuwa na hizi fantasies za ajabu ajabu. Mke wangu sijui lazima awe hivi, sijui vile. Utoto mwingi!
Tunasahau kwamba kwa kadri muda unavyokwenda mwili wa mwanamke hubadilika sana. Matokeo ya uzazi, mfumo wa maisha na umri. Hiyo pisi kali kimodo yenye kiuno kama nyigu na vititi mchongoko kifuani kama mkuki wa morani huenda huko mbele ya safari ikabadilika sana mpaka ukashangaa. Hapo ndipo kimbembe kinapoanza hasa kama sifa kuu ya mapenzi yenu yalikuwa ni ulimbwende wa mwili. Ooh mke wangu kabadilika. Ooh hana mvuto siku hizi na blah blah kibao.
Hao akina mama kwenye hiyo picha likely wako mid 40s au late 30s. Kwa kuwaangalia tu wakati wao ni wazi pengine walikuwa visu hatari hata kukidhi vigezo vyako...
Kwa sisi wazee tumeona mengi na haya yote nayaongea kutokana na experience. Msichague wake wa kuoa kwa kuangalia maumbo yao wakati wakiwa under 30. Tia akilini kuwa baada ya watoto watatu na miaka 20 huko mbele ya safari huyu mke wangu atakuwa na umbo gani? Wewe utakuwa na umbo gani? Kama ulimuoa kwa ajili eti kimbaumbau au bonge, vipi akibadilika na kuwa tofauti kabisa na ulivyompenda utafanyeje? Ndoa inakufa? Mapenzi yanakufa? Unatafuta mchepuko au unaoa mwingine?
Ukiweza kuyajua majibu ya maswali haya basi hutasumbuka na vigezo hivi bandia kama uzuri wa mwili - kwa sababu mapenzi yenu yatasimikwa katika vigezo vingine vya kudumu na muhimu zaidi kuliko tu uzuri wa mwili (japo nao ni muhimu pia)...
#Busarazawazee
Kumbe tunaizidiana!!Acha tu,ananiambia tule chakula eti na mimi nikachagua tunywe tu kahawa!
Dunia hii
Sasa chakula cha mlimani City sijui ningekula sahani ngapi mimi ili nishibe..nikaona isiwe kesi,tunywe tu kahawa .
😋😋😋😋 Upate na chai ya maziwa
Hapana Mama Mchungaji. Kwa nini niifute comment nzuri kama ile? Sijaigusa na nimeiangalia bado ipo. Labda ni hiyo iPhone yako tu inazinguaShimba Ya Buyenze umefuta comment yako mzee wa busara? Naku-quote inagoma



Kuna maeneo hayafai sisi kutembea.Sisi si wa kupelekwa M/city kwa kweli![]()

HapanaYaani mwanamke unamtishia mumeo????
simtishi
Na msubiri kununiwa" kwerikweri"Achaaaa. Utabaki home usugue masufuria
Hahaaaaaa Ila wewe jamaa.Ukawe na kazi njema shem. Na leo ikawe mojawapo ya siku zenye mibaraka tele na furaha. Hata huyo aliye mikoani huko usihangaike kumuwaza na senene zake za Italy. Today is only you my shem![]()