Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mi wala huwa sielewi. Tulifika fikaje kwenye mke mmoja wakati miamba ya imani mingi tu katika Agano la kale ilikuwa na wake wengi? Ni kweli mtu atakwenda motoni kwa kuoa mke zaidi ya mmoja? Akina Solomoni waliooa wake 700 wao itakuwaje au kwa vile wao walikuwa wanaishi katika sheria na siyo Neema ya Yesu?

Imagine unakuwa nao wanne kama wa huyu mwamba hapa dah!
View attachment 2121095
Hadi udenda!!!
 
Screenshot_20220216_191307_com.whatsapp_edit_38294804283218.jpg
 
Back
Top Bottom