Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yanalewesha hayaaa.
IMG-20220216-WA0012.jpg
 
Yaani hapo tu hawa shwaini ndipo nashwindwa kuwaelewa...
Kwani kale kaupenyo hakawezi kutumika?

Huku kwema kabisa,wapwa zako wote nimewatembelea jana na leo,kesho narudi kwa Kabula.
Mpe salaam binti yangu, Mungu azidi kumpambania.
Asante shemeji...Wapwa wapige kitabu vizuri japo sasa tunaaminishwa na akina Dr. Musukuma kuwa elimu haina maana tena

Hao Tiaraei watajua kuwa hawajui...

Tubaki na uzima shemeji
 
Back
Top Bottom