Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Bro. Usifurahie maumivu ya mwanaume mwenzio. Hiyo ni bro code #23. Leo kwake kesho kwako ohoo!Sana![]()



Bro. Usifurahie maumivu ya mwanaume mwenzio. Hiyo ni bro code #23. Leo kwake kesho kwako ohoo!Sana![]()



Jamani jamani acheni kumuonea Pep jamani🤣Bro. Usifurahie maumivu ya mwanaume mwenzio. Hiyo ni bro code #23. Leo kwake kesho kwako ohoo!![]()
Shkamoo AnkooAnko
Amina shemeji.Asante shemeji...Wapwa wapige kitabu vizuri japo sasa tunaaminishwa na akina Dr. Musukuma kuwa elimu haina maana tena
Hao Tiaraei watajua kuwa hawajui...
Tubaki na uzima shemeji![]()
Marahaba mamaShkamoo Ankoo
😂karibu ankooMarahaba.
Nimeshaiona lokesheni yako,jumamosi nakuja na kitolori changu,lazima ukishibishe
KaushaUmefurahia nini sasa![]()

Maana sielewi kinachokufurahisha hapa🤣Kausha![]()
Hili nalo nenoBro. Usifurahie maumivu ya mwanaume mwenzio. Hiyo ni bro code #23. Leo kwake kesho kwako ohoo!![]()

Ahsante mamaangu.karibu ankoo
Nitakilisha ugali



Si wewe ndio umeanza kucheka😂Si
Utulie
🤣🤣🤣Ahsante mamaangu.
Raha ya kuzaa ujanani (mjomba ni mama)
Umenena ukweli mtupu Kama wafalme walikua nao wengi sisi kwanini tubaniwe au ni propaganda tu NB: HIO MIZIGO PICHANI SHEIKH SIO MCHEZOMi wala huwa sielewi. Tulifika fikaje kwenye mke mmoja wakati miamba ya imani mingi tu katika Agano la kale ilikuwa na wake wengi? Ni kweli mtu atakwenda motoni kwa kuoa mke zaidi ya mmoja? Akina Solomoni waliooa wake 700 wao itakuwaje au kwa vile wao walikuwa wanaishi katika sheria na siyo Neema ya Yesu?
Imagine unakuwa nao wanne kama wa huyu mwamba hapa dah!
View attachment 2121095
Eti ujitoe ufahamuPeponi kama kawa tunaingia.. Hatari ya wake wengi ni ule muunganiko wa nafsi.. kama wakiwa na backgrounda mbaya ya miungu miovu, wanaweza hamisha moyo wako.. mwanamke ana nguvu.. hayo ndio majanga yalimkuta kijana Solomon.. Mke mmoja kazi inahitaji ujitoe ufahamu kweli
![]()


