loohhh!!!musukuma ndani ya penzi la kizaramo lazma uombe poo!!kupika asili yetu aseehh!!sijisifu Ila watu wa pwani wanajua kupika!!!Mi napenda sanaa kupika Shem niliendaga usukumani mpk Leo Hawanisahau kwa mapishi,kulima siwezi,kutwanga siwezi nilipewa sekta ya jikoni tu!nlikua nkienda wanafurahia balaa!!!then nkajifunza kupika mlenda wa Karanga, mama anasema "mwinga wangu amekuja sasa tunakula kujiramba"