Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umenichekesha sana. Ukifanya hivyo huwezi kununua kitu aisee. Mara ya kwanza nimeenda London kwenye interview nikatakiwa kutafuta suti eti presentable nilipata tatizo hilo. Suti eti inauzwa £170. Mi nikipiga mahesabu nakuta ni karibia laki 5. Nikawa najisemea kweli ninunue suti laki 5? Nikakomaa tu na suti niliyokuwa nimekwenda nayo...na kazi sikupata

Pizza hii ni ya binti alikuwa ameagiza na marafiki zake. Na anajua mi wala siyo mpenzi wa mavyakula yao haya ya kiutopolo. Nikila kakipande kamoja tu basi kanatosha...halafu nakasukumizia na bonge la ugali kwisha habari




View attachment 2120332
😀😀😀😅 labda ungechukua ya laki tano ungepita
 
Tangu umeamua kuua undugu basi nitakuwa nakuita tu mkuu.

Nielekeze basi ,nakumbuka ulimuelekeza Khantwe na mimi nikadesa kimyamimya ila sasa nishasahau.
Nimeshakuelekeza tayari...

Undugu ulikufa kwa sababu za kipuuzi tu halafu. Nifanyeje ili niufufue? Hata ukinipiga faini niko tayari kulipa
 
Nimeshakuelekeza tayari...

Undugu ulikufa kwa sababu za kipuuzi tu halafu. Nifanyeje ili niufufue? Hata ukinipiga faini niko tayari kulipa
Asante
Screenshot_20220215-201428.jpg
 
Umenichekesha sana. Ukifanya hivyo huwezi kununua kitu aisee. Mara ya kwanza nimeenda London kwenye interview nikatakiwa kutafuta suti eti presentable. Suti yenyewe eti inauzwa £170. Mi nikipiga mahesabu nakuta ni karibia laki 5. Nikawa najisemea kweli ninunue suti kwa laki 5? Nikakomaa tu na suti niliyokuwa nimekwenda nayo...na kazi sikupata

Pizza hii ni ya binti alikuwa ameagiza na marafiki zake. Na anajua mi wala siyo mpenzi wa mavyakula yao haya ya kiutopolo. Nikila kakipande kamoja tu basi kanatosha...halafu nakasukumizia na bonge la ugali kwisha habari




View attachment 2120332

Ooh pole kwa kukosa kazi yenye malipo ya uzito (pound) 😅😅 joke 🤣

Sasa we uliona wapi msukuma akatulia ndani ya suti...😆😆😆😆
Itakuwa ulisumbuka sana na koti mara uweke mikono mfukoni mara utoe leso kwenye mifuko ya ndani ya koti hata watahini wakahofu unataka kuwabastola 😅😅😅

Speaking of Pitzza, if you wanna kill Kasie just spray poison on a pizza 🍕, ill die softly while chewing 😢.

Let Thursday come, I'll tropical myself at the pizzeria 😊😊.

Cheers to your queen, if she love travelling like Kasie, ill offer a heart pizza for her and a trip to Mongolia.

Happy Tuesday.
20220215_202600.jpg

Kiporo kinapashwa. 😋😋
 
Ooh pole kwa kukosa kazi yenye malipo ya uzito (pound) joke

Sasa we uliona wapi msukuma akatulia ndani ya suti...
Itakuwa ulisumbuka sana na koti mara uweke mikono mfukoni mara utoe leso kwenye mifuko ya ndani ya koti hata watahini wakahofu unataka kuwabastola

Speaking of Pitzza, if you wanna kill Kasie just spray poison on a pizza , ill die softly while chewing .

Let Thursday come, I'll tropical myself at the pizzeria .

Cheers to your queen, if she love travelling like Kasie, ill offer a heart pizza for her and a trip to Mongolia.

Happy Tuesday.View attachment 2120357
Kiporo kinapashwa.
IMG_20220215_184409_741.jpg
 
Back
Top Bottom