hahahaha,kweli uncle? Usiniambie nakaribia kupata wa ubani hapakafa kaoza uncle 😀😀😀
ahaha! Uncle kwani huwa tuna utani kwenye mambo serious kama haya.. si umeona kapotea ana aibu sana... mtoto mbichi mbichi kabisa huyo uncle nimekupa.. naomba umtunze tu mdogo wangu 😊😊😊hahahaha,kweli uncle? Usiniambie nakaribia kupata wa ubani hapa
Hahahaha dah [emoji119] , , Mali za watu hizo mzee biblia inakataa kuzitamani amri ya ngapi sijui ile[emoji3][emoji3][emoji3] mnabahati sana, kiumbe kama Depal hakuna asie taka kuwa nachoo.. cheki ka sura kale ( innocent sura) tume shavu tule.. dah nawatamania.. mie tu humu ndio nagalagazwaaa [emoji3][emoji3]
aaah! mie alinituma sasa nikuambie kuwa anakuelewa.. sema nilichelewa nikajua amepata ujasiri wa kuja kwako moja kwa moja. mkimalizana na Depal kuna offer hapa ya hotel nyota tano.. mkakae wiki nzimaHahahaha dah [emoji119] , , Mali za watu hizo mzee biblia inakataa kuzitamani amri ya ngapi sijui ile
Ah wapi[emoji3][emoji3][emoji3] mnabahati sana, kiumbe kama Depal hakuna asie taka kuwa nachoo.. cheki ka sura kale ( innocent sura) tume shavu tule.. dah nawatamania.. mie tu humu ndio nagalagazwaaa [emoji3][emoji3]
Sio kwa ushenga huu; by any means dada aondoke home[emoji23][emoji23]vipi kwani nadanganya [emoji849][emoji849]
Hahahaha wewe jamaa [emoji23]ahaha! Uncle kwani huwa tuna utani kwenye mambo serious kama haya.. si umeona kapotea ana aibu sana... mtoto mbichi mbichi kabisa huyo uncle nimekupa.. naomba umtunze tu mdogo wangu [emoji4][emoji4][emoji4]
Huyo pambana nae wew Mimi nitakutajia yupi unipelekee barua [emoji28]aaah! mie alinituma sasa nikuambie kuwa anakuelewa.. sema nilichelewa nikajua amepata ujasiri wa kuja kwako moja kwa moja.
kamtunze mtu chake hatutaki kusikia mambo ya ajabu ajabu sawa sawa 😕😕Hahahaha wewe jamaa [emoji23]
🙄🙄🙄.. mie hanitaki.. na aniita kabisa mdogo wake ndio maana alinituma nije kwako kufikisha ujumbeHuyo pambana nae wew Mimi nitakutajia yupi unipelekee barua [emoji28]
😀😀😀😀 ungekuwa hujaolewaa.. kuna mtu ananisumbua saja inbox nifikishe ujumbe wake kwako.. sema kwa heshima acha nipige kimyaaa 😎😎Sio kwa ushenga huu; by any means dada aondoke home[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
anakupenda na huo ndio ukweli.. mta enjoy 😀😀Anapiga teke sandarusi la hela Depal
mkiss basi 😊😊
Kha umeanza tena 😅mkiss basi 😊😊
hahahaha.uncle utanifanya niwehuke ujue.kumpata mtt km huyo c mchezoahaha! Uncle kwani huwa tuna utani kwenye mambo serious kama haya.. si umeona kapotea ana aibu sana... mtoto mbichi mbichi kabisa huyo uncle nimekupa.. naomba umtunze tu mdogo wangu 😊😊😊