Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Lini Boss Lady? Niko barabarani lakini naweza kukapaki ka-IST kangu pembeni hapa![]()

Hahaa!! Naona leo unavunja chaga msukuma!!!
Lini Boss Lady? Niko barabarani lakini naweza kukapaki ka-IST kangu pembeni hapa![]()

Hahaa!! Naona leo unavunja chaga msukuma!!!
Watu mko na vishape vyenu na vya wenzenu Heaven Sent
SaasawaNi hilo
Naam, Mama Pep atakupa mwongozoSwala la ndoa yako
Anafahamu na atakua mmoja wa wanakamati waandamiziHivi kaka yako anajua![]()
Mahari bado dada mkuu Heaven Sent na Chakorii wanapambana kuniafanyia negotiationHuyu Pep maha(r)li
Negotiations ikiisha tukaafikiana ntatoa mapema.Alitoa lini na kwa
Utaratibu upi![]()

My love for you will always be the same always be the same mama Pep
Unalalaje mapema yote hii weeh!Niko hapa nimeshashiba , nijiandae kulala sasa

Sifa za kidukililoSaasawa
Naam, Mama Pep atakupa mwongozo
Anafahamu na atakua mmoja wa wanakamati waandamizi
Mahari bado dada mkuu Heaven Sent na Chakorii wanapambana kuniafanyia negotiation
Negotiations ikiisha tukaafikiana ntatoa mapema.
So far nimekua quoted vitu vifuatavyo;-
1.Ng'ombe 5 madume wenye rangi nyeupe ambao dhamani yake ni Tshs.4,500,000. Na hapa nimeambiwa lazima nitoe hela ng'ombe haitajiki.
2. Tshs.900,000 Za Mama Mkwe.
3. Duvet 2 za wazazi.
4.Vitenge kulingana na idadi ya mashangazi (nimeambiwa wapo 7, vitenge wanasema lazima viwe vya uturuki)
5. Blanket 2 za Bibi
6.Trekta moja Majembe Mawili.
7. Mkaja wa mama (Huu sikujua ni nini, nimeuliza wakanambia unafanana na nyumba, wakasisitiza unauzwa kwa dollar, ni dala alfu moja mia saba themanini)

Hahaha Africa na wasichana wakeSaasawa

Saint Anne I promise you nisipomkuta shem dada Mbinguni ntaondoka....itakua nimeingia chaka huko sio mbinguniMpe huu shem ake
Let the bough break, let it come down crashing
Let the sun fade out to a dark sky
I can't say I'd even notice it was absent
'Cause I could live by the light in your eyes
I'll unfold before you
Would have strung together
The very first words
Of a lifelong love letter
Tell the world that we finally got it all right
I choose you...
I will become yours and you will become mine
I choose you...
I choose... you
(Yeah...) oh, oh, oh, oh, oh
There was a time when I would have believed them
If they told me you could not come true
Just love's illusion
But then you found me and everything changed
And I believe in something again
My whole heart
Will be yours forever
This is a beautiful start
To a lifelong love letter
Tell the world that we finally got it all right
I choose you
I will become yours and you will become mine
I choose you
I choose... you
We are not perfect
We'll learn from our mistakes
And as long as it takes
I will prove my love to you
I am not scared of the elements
I am under-prepared, but I am willing
And even better
I get to be the other half of you
Sent using Jamii Forums mobile app
First it's not my view,, ni illustration ya how the work of holy spirit is diverse,,,Kwa view yako upo sawa, hujanipa upande wa view yangu. Biblia ( ni kumsanyiko wa maneno ya Mungu, maneno ya watu, maneno ya shetani etc). Nini kilikuwa nyuma ya Solom katika uandishi wa hicho kijarida ?
Hapo kama unatokea Dar umepita Standa ya Moro ila mataa ya Tumbaku bado hujafika....Eneo gani?
Hiyo ndo quote ya mahari nimepewaSifa za kidukililo
Umezianza lini![]()
Kuna baridiiii, siwezi kujitingisha kwa vyovyote vile zaidi ya kulala.Unalalaje mapema yote hii weeh!![]()
Hatujui ni nini lengo lake,,but all we know ni poetic illustration ya solomon, akiwa na mpenzi wake,,, sasa kutafsiri ndo kila mtu anaangukia upande wake,,, as long tafsiri yake sio dhambi ( kumsifia mkeo au kuhusisha poetic songs hizo kama majibizano kati yako na Mungu )Kwa view yako upo sawa, hujanipa upande wa view yangu. Biblia ( ni kumsanyiko wa maneno ya Mungu, maneno ya watu, maneno ya shetani etc). Nini kilikuwa nyuma ya Solom katika uandishi wa hicho kijarida ?
how the work of holy spirit is diverse,,,
Wee baridi lote hilo unalala pekeako ama? Acha utani ujue!!Kuna baridiiii, siwezi kujitingisha kwa vyovyote vile zaidi ya kulala.