Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Kweli inaonyesha safari ilikuwa ndefu,kufika saa6 si mchezoAshukuriwe Mungu kwakweli..maana safari ilikuwa ni ndefu mnooo ila abiria jirani niliyekaa nae aliifanya ikawa fupi
Hii wiki kazi ninayo[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah Chelsea msitunyanyase[emoji1787]Yan raha niliyo nayo natamani nimpe offer X akalale Gran Melia hotel [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na mchepuko wake
Hiyo picha ni yakoUmeanza cha ubishi…
Hivi unavyoandika utafikiri kweli vile..mtaalamu wa kubashiri
Hivi tangu tumuozeshe Pep na kusalimia shemeji zake kumekata…
Mwambie fresh
Eeeehhh!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanza parefu Sana.
Nimekaa na mkaka mzuri mzuri Sijui kachanganyika na mnyarwanda yule jamani…yani nilikuwa namlalia makusudi.
Mkaka yule kajua kunifupishia safari
Tuone elezea vizuri hapo kwenye kutetemeka,Kwa haka kahali ka hewa ukimbukia Melia ya chuga utakua umemfaa sana...kesho watatoka magoti yanatetemeka [emoji1787]
Hee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo mimi ni mrefu mtakatifu[emoji1787][emoji1787]hiki ni kigezo namba moja cha kuchanganya mafaili.
Ukitoa lokesheni ya uliponionea basi nitatengua kauli[emoji23]
Inakuandalia zawadi.Umeanza cha ubishi…
Hivi unavyoandika utafikiri kweli vile..mtaalamu wa kubashiri
Hivi tangu tumuozeshe Pep na kusalimia shemeji zake kumekata…
Mwambie fresh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ashukie mbezi…wewe ulisikia wapi[emoji1][emoji1]wote mpka mwisho wa gari.
Huyo konda ukimuona mwambie aache ukuda..
Siri ya kambi haisemwi[emoji1787]
Tobaaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli kabisa sio “mtefu “
Acha kucheza kamari dogo[emoji13][emoji13]
Hahaa!mi na we hakuna tofauti Niko km skeleton tu shoo!!!mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo kumbe umeona? Sasa cheki nilivyo kimbau mbau lol, mnipe shape bas na nyie uwiiiih.
Nimekuona hatimae nimeotea na miyew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo kumbe umeona? Sasa cheki nilivyo kimbau mbau lol, mnipe shape bas na nyie uwiiiih.
Nimeshangaa mbona nna usingizi lakini silalii..Nimekuona hatimae nimeotea na miyew
Mkuu ili ufike kitandani lazima upande lift siyo?? Safi sn..nakumbuka enzi natafuta chumba nilimwambia dalali nitafutie cha uani hakuna masharti mengi ya mara oooh kurudi mwisho saa mbili ili tufunge geti😅,now naenjoy Uhurukama mda wa kureport kitandaniView attachment 2117773
Chakorii mbona umefuta sasa,nami nione urefu wako?Hatimaye nimekuona kidogo
Kumbe wala siyo mfupi sana kama ambavyo nilidhania.
Aliifanya kuwa fupi? Alipitia Uzi wa rickboy nn akachukua madini kisha aka-apply kwako?Ashukuriwe Mungu kwakweli..maana safari ilikuwa ni ndefu mnooo ila abiria jirani niliyekaa nae aliifanya ikawa fupi
Kwisha habari yako..Makofi Kwa mkaka wa kinyarwanda tafadhali👏Mwanza parefu Sana.
Nimekaa na mkaka mzuri mzuri Sijui kachanganyika na mnyarwanda yule jamani…yani nilikuwa namlalia makusudi.
Mkaka yule kajua kunifupishia safari