Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,221
Sawasawa! Nimekuelewa dia!!ni ofa
Sijui unaelewa
Me na my wangu labda tuko zetu Malaika huko nani anajua![]()
Sawasawa! Nimekuelewa dia!!ni ofa
Sijui unaelewa
Me na my wangu labda tuko zetu Malaika huko nani anajua![]()
Achana na hayo mambo student!Huyu mchezaji jaman kila nikimtazama kuna kitu moyoni kinanifhukuta, hata sijui kwann yaan
Simba imesajiri wachezaji ila huyu ameniingia mno, yaan nmenunua jersey km 4 afu nimeweka chatta ya jina lake, yaan nikiona uwanjan kashka mpira narukwa na akili mno,
Nishawahi kumfata ktk page ya Fb, nilitext kwa kiingereza, sasa yeye akajibu sijui kifaransa sijui kireno,sijui kiitaliano hata sikuelewa, kila nikimchatisha anajibu kwa lugha hata sielew, nliumia mno yaan, siamini km hajui kimalkia ila nahisi alifanya makusudi tyuuh.
Hebu mniambie hiki n nn eti mahondaw na Chakorii mnisaidie kwani. View attachment 2117371
😀😀😀😀.. Wigelekelo ngoja aje akupe pindi.. ila ukiona mdada ana vidole virefu vimebanana.. hutojutia 😀😀😀.. ila wote wapo fresh.. hii sio 9.8ms¯²Nini Siri yake, nifahanishe tafadhari
Wow,is it ziwa Nyasa mkuu?
Naomba utubaliki na selfie ya kulalia mkuuWow,is it ziwa Nyasa mkuu?
Ulikimbia umande wa jiogorofia nini.. 😂😂😂Wow,is it ziwa Nyasa mkuu?
Ni wapi sasa mbona sijaona rocks? 😂😂Ulikimbia umande wa jiogorofia nini.. 😂😂😂
Ungeona rock pangekuwa wapi 😎😎Ni wapi sasa mbona sijaona rocks? 😂😂
Ingekua ni ziwa Victoria upande wa Tabzania- Mwanza ukerewe😛Ungeona rock pangekuwa wapi 😎😎
Safii kabisa mwanafunzi.. japo unagopa kuja kula kipindiIngekua ni ziwa Victoria upande wa Tabzania- Mwanza ukerewe😛
Kipindi ntakuja ila mmh ule uzi wa Rikiboy ndiyo umeniharibu fikra zote😂Safii kabisa mwanafunzi.. japo unagopa kuja kula kipindi
😬😬😬.. basi pindi tutapigia uhasibu house.. quiz ndio utakuwa unazipitia gheto 😎😎😎.. ili tukwepe mambo ya RikboyKipindi ntakuja ila mmh ule uzi wa Rikiboy ndiyo umeniharibu fikra zote😂
Sawa my lecturer 😂😂 Quiz kuchukulia ghetto hapo mmh😬😬😬.. basi pindi tutapigia uhasibu house.. quiz ndio utakuwa unazipitia gheto 😎😎😎.. ili tukwepe mambo ya Rikboy
Wanafunzi wa siku hizi.. mnakuwa hamtuamini walimu wenu kabisa why jamaniSawa my lecturer 😂😂 Quiz kuchukulia ghetto hapo mmh
Hata mimi niliandika muda tuu na nikaishia hapo hapo.Ishapita kausha!
Pole kwa uchovu na Ashukuriwe Mungu kwa kukufikisha salama mai dota



Hatimaye nimekuona kidogo