Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Tinsley fanya mambo basi.. tupo hapa tunasubiri siku iende mwananaNisaidie kushawishi aibariki Jumapili yetu š
Tinsley fanya mambo basi.. tupo hapa tunasubiri siku iende mwananaNisaidie kushawishi aibariki Jumapili yetu š
msitufanyie manyanyaso basi.. kisodo asubuhi iende na mbaraka wakoNikipiga picha nitatupia
Hata ya jana ama ya juzi hata ya mwaka jana itafaa mkuušNikipiga picha nitatupia
tupia kwanza ka selfie tupo hapa na Mjep tunasikilizia na mie nitakutajia alie imbaAmen
Huu ameuimba nani ?
OkayHata ya jana ama ya juzi hata ya mwaka jana itafaa mkuu![]()
uaichelewe basi kabla bado halijaisha šššNgoja nitafute ya zamani
Tunasubiri hapa mkuuHahahha aya
Nina picha nyingi ngoja nianze selection sasauaichelewe basi kabla bado halijaisha![]()

tunasubiriNina picha nyingi ngoja nianze selection sasa![]()
Jitahidi mkuu na zawadi ipo....Nina picha nyingi ngoja nianze selection sasa![]()
Zawadi ipi hiyoJitahidi mkuu na zawadi ipo....
Hayatunasubiri
Vocha ipo fanya mamboZawadi ipi hiyo
Haya nimewekaVocha ipo fanya mambo
Umeficha sanaaaa, ondoa emoj basi
Nimeipata hiyo Tinsley ahsanteHaya nimeweka