Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,150
- 28,862
Rey nawe sijui unakwama wapi mdogo wangu!! Si ufanye kutupia selfie dukuduku liniishe!?Nimekuona hatimae nimeotea na miyew
Rey nawe sijui unakwama wapi mdogo wangu!! Si ufanye kutupia selfie dukuduku liniishe!?Nimekuona hatimae nimeotea na miyew
😀😀😀😀 vyumba vya uani vina raha yake.. hata geti ukikuta limefungwa unaruka tuMkuu ili ufike kitandani lazima upande lift siyo?? Safi sn..nakumbuka enzi natafuta chumba nilimwambia dalali nitafutie cha uani hakuna masharti mengi ya mara oooh kurudi mwisho saa mbili ili tufunge geti😅,now naenjoy Uhuru
Alipopita kule Galilaya na viungo vyake😆Maneno mawili ya mwisho ni kama nayafananisha na ya Bwana Yesu alipoenda kapernaumu kumchukua mkewe.
Ila ndugai..Mungu anamuona
Pumzi ya mwanadamu ni taa ya Mungu;
AMINAPumzi ya mwanadamu ni taa ya Mungu;
Wimbo mzuri huuEverywhere I go everywhere I go I see you right there I see you right there in the beauty of nature you shine all around
For you are everything and everything is you
Precious Jesus a wonderful wonder you are
Tinsley wa lyrics
View attachment 2117962
Ubariki na kaselfie mkuuWimbo mzuri huu
Asante
Morning boss
Mkuu T 1990 ELY umeamkaje?AMINA
The God of all creationWimbo mzuri huu
Asante
Kwema mkuu.. kumekuchaMorning boss
Kumekucha salama kiongoziKwema mkuu.. kumekucha
atakuwa kafanya la maana.. kabla watu hawaja wengi 😀😀Ubariki na kaselfie mkuu
Nisaidie kushawishi aibariki Jumapili yetu 😁atakuwa kafanya la maana.. kabla watu hawaja wengi 😀😀
Nikipiga picha nitatupiaUbariki na kaselfie mkuu
AmenThe God of all creation
He whose words cannot be broken
The self existing mighty one
Uncreated Lord of all
(Sing Elohim)
View attachment 2117976