Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,150
- 28,864
Kuna kitu nakitafuta wapi? Wakati wewe umeshakufa na kuoza Kwa mchezaji wa Simba?Dr muongo huyo tyuuh, kna kitu anatafuta mie namjua mbna. Lol
Kuna kitu nakitafuta wapi? Wakati wewe umeshakufa na kuoza Kwa mchezaji wa Simba?Dr muongo huyo tyuuh, kna kitu anatafuta mie namjua mbna. Lol
Hujambo mkuu wangu wa kienyeji(Mali safi na salama kabisa)Abee wa kienyeji
Miaka mzuriUwiiiijamani mbona nilipitwa na picha ya miaka mzuri
![]()

au na wewe simu yako ina tatizo Kama langu? Autotypemna jambo lenuMida yetu usisahau shos!!
mmh mie naomba iwe special.nikipitwa niwekeweNamimi leo nawaahidi mtafurahi naroho zenyuuuu..get prepared
njoo nikufundishe bila adaUwiiiiiiiih kumbe ni yankiiiiiih hivi? Jomoneeeeeh ahsante sana Dr kumbe alikua anajibu kwa kifaransa, hebu niende Google translators, nikaokote maneno yakuchat nae uwiiiih.
mmh mie naomba iwe special.nikipitwa niwekewe
nakuaminiaUsiwaze kamandaa...
Polee lolNilivochoka leo, hizo nitazikosa tuu..
Asanteeh..Polee lol
Leo si ya kukosaaaa.. Boss lady nimejitoa muhanga leo mtafurahi naroho zenyu mbona!nakuaminia
Mungu anavyonipenda, utashangaa saa moja na dk 59 naamka.Leo si ya kukosaaaa.. Boss lady nimejitoa muhanga leo mtafurahi naroho zenyu mbona!
Ndio ulale sasa muda unaenda ujue Namimi saa 1 nitachaji simu kwanzaMungu anavyonipenda, utashangaa saa moja na dk 59 naamka.
Ngoja nilale mimi.
Kumbe hii fanta orange tunaipiga wengii...
Aliegundua hiyo soda apunguziwe adhabu ya kaburii


