Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
HakikaMie huwa naanzaga kuangalia vidole vya miguuni.. kama vimenyooka virefu vimebanana basi nimeisha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].. akili inawaka
Hapo ndio penye
Taswira nzima
HakikaMie huwa naanzaga kuangalia vidole vya miguuni.. kama vimenyooka virefu vimebanana basi nimeisha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].. akili inawaka
muhuni sana weweee 😄😄😄.. kama umeelewa hii kodi haupi mbali na mahalaHakika
Hapo ndio penye
Taswira nzima
[emoji1787][emoji1787]muhuni sana weweee [emoji1][emoji1][emoji1].. kama umeelewa hii kodi haupi mbali na mahala
Mtaalamu wa hizi kaziMie huwa naanzaga kuangalia vidole vya miguuni.. kama vimenyooka virefu vimebanana basi nimeisha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].. akili inawaka
😄😄😄 MuandamiziMtaalamu wa hizi kazi
Pole ndio mambo ya pisi kali mkuuMzee tuna familia wenzio tuonee huruma usitutie majaribuni
Так так! Dah!
Kumbe hii fanta orange tunaipiga wengii...
Nikukatie tiketi ya kesho uje?Nimepamiss
Nimeimiss MV saa nane inavyokimbiaaaa
Nilipapenda sna Mwanza
Asee coca hapana,labda ulimtag Doctor Shimba Ya Buyenze Ila siyo Mimi..basi tupia sasa hivi unitag,roho yangu ipone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Dr acha uongo wako, wee ile siku ukaomba picha yangu afu nilihemkwa, baadae nkaweka na nlikutag special 4 u. Umesahau?
Wapo under control hadi wapewe ruhusa ya kupost bila ruhusa atatetelesha ndoa 😎😎Huyo Depal siku hizi mambo yake anafanya kimyakimya
Hili jibu limenikata kilimilimi😅Wapo under control hadi wapewe ruhusa ya kupost bila ruhusa atatetelesha ndoa 😎😎