Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,150
- 28,863
Vp harakati mkuuWapo under control hadi wapewe ruhusa ya kupost bila ruhusa atatetelesha ndoa 😎😎
Vp harakati mkuuWapo under control hadi wapewe ruhusa ya kupost bila ruhusa atatetelesha ndoa 😎😎
Mida yetu usisahau shos!!
😄😄😄😄.. unakuta kuna radar ina monitor.. ila nisifunge kinywaHili jibu limenikata kilimilimi😅
Wacha nikae kimya 🤐
Mungu anatenda mkuu wangu.. Maisha yanaenda, afya ni njema uzima wa kutosha.. habari ya majukumu kakaVp harakati mkuu
.. unakuta kuna radar ina monitor.. ila nisifunge kinywa

Kwangu pia namshukuru MUNGU mambo yanaenda kakaMungu anatenda mkuu wangu.. Maisha yanaenda, afya ni njema uzima wa kutosha.. habari ya majukumu kaka
chombo ya fundi 😄😄
jambo la kushukuru na la kumtukuza MunguKwangu pia namshukuru MUNGU mambo yanaenda kaka
Asee umenikariri Sanani wee apo bhana Mr dimplez, basi tulia, leo usiku najilipua yaan live vile. Ko kaa tayari iwa saplaizzzzz
..kumbe Nina dimples?
Poa dia fanya kumbariki Satoh Hirosh asee ameihamu selfie yako balaawala msijar yaan full leo mambo wazi wazi.
Kwa kweli Bora unisaidie kusisitiza..Ila Ile yako ya asubuhi umeniona SanaPoa dia fanya kumbariki Satoh Hirosh asee ameihamu selfie yako balaa

Ahadi yako ya kutuma picha full kuanzia unyayoni hadi utosini naisubiriaAna nywele nzuri mno,![]()
Kuhusu mguu na upaja Tu,kwangu umepitaView attachment 2117370
Dodoma sasa
%Ipi hio??? Nimekuoneaje sasa dokta??Kwa kweli Bora unisaidie kusisitiza..Ila Ile yako ya asubuhi umeniona Sana![]()
Hii simu yangu inazingua sn,siku hizi nachapia Kama kigogo wa Twitter,hasa nikikuquote weweIpi hio??? Nimekuoneaje sasa dokta??
Hahahaaa.... Nazielewa swaga zako shosHuyu mchezaji jaman kila nikimtazama kuna kitu moyoni kinanifhukuta, hata sijui kwann yaan
Simba imesajiri wachezaji ila huyu ameniingia mno, yaan nmenunua jersey km 4 afu nimeweka chatta ya jina lake, yaan nikiona uwanjan kashka mpira narukwa na akili mno,
Nishawahi kumfata ktk page ya Fb, nilitext kwa kiingereza, sasa yeye akajibu sijui kifaransa sijui kireno,sijui kiitaliano hata sikuelewa, kila nikimchatisha anajibu kwa lugha hata sielew, nliumia mno yaan, siamini km hajui kimalkia ila nahisi alifanya makusudi tyuuh.
Hebu mniambie hiki n nn eti mahondaw na Chakorii mnisaidie kwani. View attachment 2117371
Badae ya sangapi shos mida ndio hiiDr muongo huyo tyuuh, kna kitu anatafuta mie namjua mbna. Lol
Anaitwa sadio kanoute mchezaji wa Simba kutoka taifa la Mali,amezaliwa 21 October 1996.Ana miaka 25.Anaongea kifaransa ambacho ni lugha ya taifa la MaliHuyu mchezaji jaman kila nikimtazama kuna kitu moyoni kinanifhukuta, hata sijui kwann yaan