Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bedtime meeting 🙃
Screenshot_20220210-211659_Gmail.jpg
 
#Jewajua?

Utafiti uliofanywa na WAMA unaonyesha kuwa ndoa za vijijini ndio zinadumu kuliko za mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa kidini na kikatiba (kanisani miskitini na mahakamani)

Utafiti unaonyesha wanawake wa makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama ifuatavyo.

1.Wasukuma 97.02%
2.Wakurya 96.99%
3.Wamasai 94.07%
4.Wahehe 89.25%
5.Waha 89.23%
6.Wamatengo 89.01%
7.Wangoni 88.00%
8.Wachaga 87.99%
9.Wafipa 87.82%
10.Wahangaza 85.05%
11.Wakinga 85.03%
12.Wabena 85.01%
13.Wamang'ati 83.08%
15.Wapare 79.00%
16.Wahaya 56.31%
17.Wanyamwezi 50%
18.Wajita 43.07%
19.Wagogo 40.92%
20.Wasambaa 39.78%.

Utafiti huu umefanyika kwa miaka 25 kwa kufaatilia ndoa ambazo zinadumu mfano asilimia 88 ya wanawake wa kingoni ambao waliolewa walidumu kwenye ndoa zao tangu utafiti uanze na 12% waliachika
lengo la utafiti ni kubaini mila ambazo zinaathiri ndoa katika jamii ili kutatua tatizo la kuvunjika kwa ndoa ambao huaathiri watoto.

Wanyaki hawamo kwenye top 20? . Why?
Wakunyumba no 7 wacha wee, tena ilibidi iwepo ndan ya top 5 lol.
 
Back
Top Bottom