Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nijuavyo mimi mu-shaija ni mwanaume kwa ile lugha yetu ya kimataifa; na ka- katika ka-shaija ni kiambatishi dogoshi pendezeshi kama ilivyo kwenye m-toto ~ ka-toto. Nimetumia neno Kashaija kwa maana hiyo jumuishi. Ningekulenga wewe, maadamu nalijua jina lako halisi, basi ningesema kabisa Kashaija72 ili kukwepa utata.

Tuko pamoja mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]...

Ila Dodoma tunakuja tu [emoji85][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hahaaaa. Dom nendeni mkashuhudie mema
 
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]SYB unachekesha rafiki mkuje tuuu
 
Back
Top Bottom