Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,034
- 6,038
Sasa Tinsley ...Dah asanteni
Sina neno
Sasa Tinsley ...Dah asanteni
Sina neno
Siku nyingine rafikiHebu tuwekee sasa ile moja ya mwisho, najua hio picha ipo full we weka ya kati bwana, sa hv saa 9 usiku... weka mommy
Asante mwenyekitiHebu tuwekee sasa ile moja ya mwisho, najua hio picha ipo full we weka ya kati bwana, sa hv saa 9 usiku... weka mommy
karibuDah asanteni
Sina neno
haoni mtuSiku nyingine rafiki
Kamati ina jambo moja na weweNiambie
mwili mzima unamlamba tu
Usitufanyie hivyo, picha tunajua ipo full, we umecrop, hivi kwanini lakini unatufanyia hivi?Siku nyingine rafiki
atuweke tu.Asante mwenyekiti
Tunaomba katibu mtu chake utie neno
Mmhhaoni mtu
Next time pleaseUsitufanyie hivyo, picha tunajua ipo full, we umecrop, hivi kwanini lakini unatufanyia hivi?
Imalizie bwana...
anasababisha mtikisiko wa medulaUsitufanyie hivyo, picha tunajua ipo full, we umecrop, hivi kwanini lakini unatufanyia hivi?
Imalizie bwana...
tuko sisi tu
Kwanza kabisa kamati ina ofa yako hapa, we unataka kwenda ap tena.Next time please
Sikia basi we mtoto!!Imetimia saa tisa kamili
Tukutane asubuhi wapendwa
Peace
unawahi wapi?Imetimia saa tisa kamili
Tukutane asubuhi wapendwa
Peace
Hakuna hata mbu ni sie tu aweketuko sisi tu
walau tulale unonoSikia basi we mtoto!!
We Tinsley hivi kwa nini unatulaza saa 9 usiku hali ya kuwa hatujaiona picha yetu pendwa..
Basi weka hata kiduchu tu tulale...