Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]SYB unachekesha rafiki mkuje tuuu
Nafurahi sana kama unacheka rafiki. Ndiyo lengo la matani yetu hapa. Dodoma mimi sipafahamu kabisa na nilikuwa napita hapo tu nikiwa kwenye treni kutoka bara nikienda Dar huko kusoma. Kashaija wetu asiwe na wasiwasi bana..

Uwe na siku njema rafiki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom