Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1644386569782.jpg
 
Nafurahi sana kama unacheka rafiki. Ndiyo lengo la matani yetu hapa. Dodoma mimi sipafahamu kabisa na nilikuwa napita hapo tu nikiwa kwenye treni kutoka bara nikienda Dar huko kusoma. Kashaija wetu asiwe na wasiwasi bana..

Uwe na siku njema rafiki
Hahahah!Fanya uje Dodoma kuwaona hawa wanao nkweela!
Karibu sana pia jiji la wagogo!

Karibu sana!na ulale salama
 
Back
Top Bottom