cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,093
Ktk ubora wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Whisky[emoji109]
Ktk ubora wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Whisky[emoji109]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ukiwa vile inatakiwa kujikubali yaan, hapo una win, ndo maan yuko happy na anafurahia maisha yake.Siachi kumuangalia uyo kigori[emoji38][emoji38][emoji38]alafu anajikubali mpaka bas
[emoji7][emoji7][emoji7]
Bidanamu alie waloga sijui nani tu 😄😄😄.. wanapakia na vumbi ili mtu amchoshe mtu..
Nao wanasikia raha.. maana namuona baba simba hadi ana mng'ata mama simba kwa utamu.. na sura ikiwa imetabasamuuu 😄😄
Baba simba atakuelewaa..Kunazia leo ntawaiga Simba, ikiisha dakika moja nakuwa nshafika 😜
Baba simba atakuelewaa..
Mie nitamuiga mzee simba kung'ata na kuunguruma na kigoli changu cha robo dakika inakuwa tayari 😁😁
😄😄 nitajifunza kulamba kama beberu za mbuzi... iwe support yangu.. uki combine inaweza okoa kuachwa..Kwa mimi baba Simba hata asiponielewa atachepuka tuu huko kando.
Ila wewe sasa.....!!! Ukienda robo dakika jiandae kuachwa 😅🤣.
😄😄 nitajifunza kulamba kama beberu za mbuzi... iwe support yangu.. uki combine inaweza okoa kuachwa..
😄😄😄 kaselfi muhimu, acha nitafuta camera woman hapa anichape kapicha kamoja.. moja nipostBeberu la mbuzi.....!! Usinikumbushe kisa kilichonipata nikiwa chuo sina hamu.... 😅🤣
Haya, kila la kheri usiachwe.
Ila ukitupiamo kaselfi ka jumapili utanibariki 😛....
😄😄😄 kaselfi muhimu, acha nitafuta camera woman hapa anichape kapicha kamoja.. moja nipost
Njoo[emoji41]Haya iko ambia babu yako kuwa umeni miss akuruhusu ucum! (Ukuje kuniona!)