Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
wapi huku nimepapenda pazuri sana kuishi na kutembelea
Nimepapenda sana.. maeneo ambayo mtu unaishi bila stress
Hatufai kuwa haiHeaven Sent
Saint Anne .. 🙄.. huu wimbo nimesikia mda huu huu sehemu flani pa siri sana..
View attachment 2110106
Dhambi pia na hatia ametuchukulia;Hatufai kuwa hai
Wala hatutumai
Ila yeye kweli ndiye
Atupumzishayeee
Huliona tamu jina
La Yesu kristo Bwana🙌🙌🙌🙌
Huu wimbo huwa unanijaza sana upako, especially nnapokua kwenye hudumaHeaven Sent
Saint Anne .. 🙄.. huu wimbo nimesikia mda huu huu sehemu flani pa siri sana..
View attachment 2110106
Nakubalina na wewe kipara ngoso Pep .. maana kuna mahala nimeusikia huu wimbo nimechoka kabisa.. unachosema kama upo connected lazima ushukiwe na upako 😄😄😄😄Huu wimbo huwa unanijaza sana upako, especially nnapokua kwenye huduma
😉😉😉Sisi ni Mbeya city, darling.
Kuna mistari mama la mama Saint Anne ame quote hapo, hatufai kuwa hai...Nakubalina na wewe kipara ngoso Pep .. maana kuna mahala nimeusikia huu wimbo nimechoka kabisa.. unachosema kama upo connected lazima ushukiwe na upako 😄😄😄😄
Inabidi baadaye tuuimbe pamoja..Huu wimbo huwa unanijaza sana upako, especially nnapokua kwenye huduma
Trip zinaendelea 😎😎.. hiyo sio VXR 😄😄😄
Aliupiga mulemule on target.Kuna mistari mama la mama ame quote hapo, hatufai kuwa hai...
Ikifika hiyo part Roho wa Bwana lazima abubujike ndani yangu namna huyo mtumishi mwenzetu aliupiga mwingi.
Hatufai kuwa haiDhambi pia na hatia ametuchukulia;
Twenendeni na amani hata kwake mbinguni.
Well, I miss you more than how an idiot misses the point😉😉😉
I missed you
Huliona tamu jina, la Yesu kristo Bwana,Hatufai kuwa hai
Ila yeye🙌🙌🙌🙌
Upo spiritual kupita maelezo.. huu wimbo hata mtungaji naamini aliuota. maana asiri yake sio hapa duniani 😀😀😀..Aliupiga mulemule on target.
Kuna mtumishi mwenzetu niliwahi kuimba naye kipindi cha shida yake..
Hizo verse kuna namna zinatoa relief.
Kama Lukaku yaniAliupiga mulemule on target.
Umebarikiwa sana mama mtumishiKuna mtumishi mwenzetu niliwahi kuimba naye kipindi cha shida yake..
Hizo verse kuna namna zinatoa relief.